Recent content by jiwe angavu

  1. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima.

    Waarabu waislam ni tatizo kuu
  2. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Jambo kubwa nililojifunza ni serikali zetu hasas za kijamaa they live in lies kitu ambacho mwisho hucost life la wananchi wao.
  3. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kusikiliza na kufuata ushauri wangu nilioutoa kuhusu suala la usafi wa mazingira jijini Dar es salaam

    Shida haitoisha kwa sababu serikali yako haijaweka miundombinu wezeshi ya utupaji, ukusanyaji na uondoshaji wa taka,inshu nyingine hii nchi hakuna mipango miji kila sehemu ni ujenzi holela. Waaanze kuimalisha hayo kwanza..mana haiwezekani mtu unatembea mjini hukutani na kitupia taka,magari ya...
  4. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania KERO Tembo bado ni tatizo kubwa kwa Wakulima wa Liwale

    Kwanini mkae karibu na mbuga ya wanyama.
  5. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

    Vijana wa mbowe hao.
  6. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

    Jambo jema,waanze ile huduma ya kubadili betri,unaenda unachukua nzima unaacha ambayo imeisha chaji.
  7. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Mgeni rasmi Harambe ya Maendeleo ya KKKT

    Kkkt ni kanisa linaloenda kujifia kutokana na nepotism na uchawa
  8. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania NINA MAPENZI MAKUBWA KUISHI KISIWA CHA MAFIA MSAADA WA TAARIFA TAFADHALI

    WEwe uko wapu kwanza. Mafia ni kisiwa kina idadi ndogo ya watu wakazi ni waswahili tamaduni zao kiswahili. Usafiri ni boti wanapandia hapo nyamisati pia kuna usafiri wa ndege ndogo kwenda dsm. Ni sehemu nzuri na tulivu hakuna amsha amsha sana. Biashara ya chakula hasa nafaka itakupa hela.
  9. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Mbona kawaida mana hata ccm nao kila siku wapo kwenye korido zetu kuomba mafuta kwa ajili ya ziara.
  10. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Acha roho mbaya wanawake tuliumbiwa sisi
  11. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Wanao simamia huu mfumo ni utumishi sio taasisi husika mchawi hapa ni utumishi.
  12. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Utabandika bandua hadi siku unastaafu..mnachezewa mchezo na huo mfumo.
  13. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mfumo ni illusion and they don't care kuhusu ndoa yako.
Back
Top Bottom