Basically Wakwaya na Waruri na Wakara na Wajita wa Ukerewe wote ni wajita tu ndio maana tunaongea lugha moja na hata mila na tamaduni ni zile zile japo lafudhi (accent) zao kidogo ni tofauti kwa sababu ya muingiliano na makabila mengine. Infact ukifuatilia historia wakwaya ndio wanaongea...
Wakurya dada zao antena zote zimeng'olewa hivyo signal zinapatikana kwa tabu kwelikweli mpaka uzingushe sana kisimbusi ndio wanapata signal kwa mbaaaaali sana.
Wajita wapo strong ila siyo wakatili kama wakurya. Kama unamaniisha kuwa mkatili ndio kuwa strong ni kweli wajita siyo strong kwa maana hiyo. Au nenda kamwambie mlinzi (ADC) wa rais Samia Hassan (Nyamburi Mashauri) kwamba wewe siyo strong kwa sababu ni mjita.
Kwa hiyo tabia za wakurya za ukatili wa kutoana ngeu, kuuana bila sababu za maana, wizi wa mifugo na kutahili wanawake ndio nzuri? Kwanza wakurya ndio wamefanya mkoa wote wa Mara kuwa na sifa mbaya kwa sababu ya mambo ya ki-primitive wanayoyafanya.
Kenya kiingereza kinaongewa sana Nairobi na baadhi ya miji yao michache mikubwa. Counties nyingi hasa huko mashinani ni wanaongea vilugha vyao hata hiyo english wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari. Wakija nairobi ndio wanajifunza kuongea Kiingereza. Hata hawa akina Nixcie, Mwathada, Komora...
Tatizo wengi wanadhani kuanza biashara yoyte lazima uwe na mamilioni ya fedha ndio maana kila siku utasikia wakisema sina mtaji au nasubiri nipate mtaji. Kuanza biashara katika kiwango kidogo kuna faida nyingi sana;
1. Kwanza unapunguza kupata hasara kubwa endapo biashara haitaekwenda vizuri
2...
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma tu sitegemei cha maana kutoka kwa hiyo tume. Kama mataifa ya huko mbele yanayotengeza barakoa na vaccine yamesema tuzoee kuisha na corona sisi ni nani hadi tuunde tume? Tusubiri tu vaccine iliy othibitika kuwa salama siyo vaccine hzi za kihuni zinazoua watu.
Mbona nyumbani hamvai barakoa? Au nyumbani hakuna uwezekano wa kuambukizana korona kati ya wanafamilia?. Ni immunity za miili yetu tu ndio zinatusaidia hizo barakora si kinga kamili ya kutopata maambukizi ya korona. Kwa mazingira yetu waafrika na poor hygene tuliyonayo tungekuwa tumeshaangamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.