Recent content by jitukubwalao

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

    Soma hukumu, hakuna sehemu kumeonekana kwamba alimpiga shoka, amesema alimkaba kisha akamsukuma akaangukia jiwe lilikuwa chumbani. Jiwe hilo lilikuwa linazuia kitanda.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

    Inawezekana awali aliridhia mkopo uchukuliwe ili kuimarisha ndoa shida imekuja kwenye majeresho.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna pombe nyingine ukishika mkononi mbele ya watu zinaeleza ulivyo

    Je kama anaishi kwa shemeji yake kuna free WiFi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) yatahadharisha ujio wa mvua kubwa kwa siku tano kwa mikoa ya pwani

    Kuna mtu aliwahi kufanya utafiti na akaja na majawabu ya maswali y majibu yake kwamba wanawake wapo katika uwezo mkubwa wa kupata mimba kuliko wanaume endapo watajihusisha na masuala ya ngono
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

    Kwani yeye January Makamba anasemaje kuhusu hizo pongezi za Spika?
  6. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe aagiza Wanafunzi watatu wafukuzwe Shule kwa kujihusisha na vitendo viovu

    Gondwe naona anapotea njia, sheria to a elimu inaeleza vizuri tu makosa yatakayosababisha moto kufukuza shule na taratibu gani zifuatwe.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Mkuu umenikumbusha juzi kuna dogo kaja kwenye duka langu la dawa akaniambia yeye ni famasisti anatafuta kazi ila mshahara lazima uwe 1m na atakuwa anakaaa mara mbili tu kwa wiki. Nikamuuliza mbona gharama iko juu akasema ndio walivyokubaliana chuoni kwamba mtu asikubali chini ya hapo. Nikambia...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

    Mtumie huu ujumbe atakuelewa vizuri mkuu
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkojo unaowabana wanawake wakati wa gegedo huwa unamaanisha nini?

    Huyo atakuwa ana UTI inamsumbua
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo sababu ya vijana kuwala wake za kaka/ndugu zao

    Alikukatia kiuno vizuri mkuu?
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkojo unaowabana wanawake wakati wa gegedo huwa unamaanisha nini?

    Atakuwa ana ugonjwa wa zinaa huyo dada
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Kwanza ni sehemu salama, hakuna CCTV camera, gharama ni nafuu kwani hulipii chumba cha hotel( sio guest house ieleweke) hutapigwa mzinga wa pombe kwenye gari hakuna pombe wala chips au nyama choma. Utapiga bao moja tu then mnasepa hivyo hutachoka sana na uwezekano wa kupata michubuko ni kidogo(...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

    Passport hii mbona haitumiki tena, alikuwa anaitumia kivipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom