Sema tuhuma za mwanaume kuhusu kupiga mishe hazitishi sana😁😁. Kama siyo mwanafunzi au mke wa mtu unakubali.
Yote kwa yote wanamchoresha sana jamaa. Watajua wao hata wauwane.
Kiongozi mzuri kuongoza muda mrefu nami huwa sioni shida yeyote. Nchi maskini uongozi wa democrasia ushafeli.
Sisi waa Africa hatujastaarabika kushika demokrasia. Lakini angalia ma dikteta wa nje kama China, Urusi wana uchungu na nchi zao na hakuna anayewachukia.
Sisi ambao tunaamini njia...
Ukimkubali mtu unaweza tengeneza njia yako peculiar ya kumkumbuka na kumuenzi.
Unaweza chora tatoo, ukatengeneza sanamu nyumbani kwako, ukaweka picha mbali mbali,ku print t-shirts,nk.
Hizo ni njia sahihi na rahisi ambazo hazihitaji majadiliano wala kugusa hisia za watu wengine
Mtoa maada yuko sahihi.
Kwa ninavyojua ukiwa askari wa kawaida sidhani kama(sjui) kama kuna nafasi ya kutoa maoni jeshini. Mtu aliyekuzidi cheo anakuona kama nini sjui utamshauri nini akuskilize, labda wakubwa kwa wakubwa.
Kwa issue ya mpira sidhani kama maandamano yanaweza fanikiwa. Wa Tanzania hawana chuki na mpira, kwanza hata timu ya Taifa hawaipendi kivile hawawezi jaa.
Mpira ni jambo la burudani, maandamano ni kinyume chake. Mtu kumhamasisha kuandamana inabidi hata tukio la mbele yake liwe linamchukiza/...
😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.
Pia kwenye issue kama hizo ukiwa serious sana inabidi upambane siku za mwanzoni dirisha likifunguliwa au kama ukivyosema usiku wa manane sana.
Hili limeniuma wanavyofanya hawa wakenya.
Wakenya kwao ajira ni za kikabila angalau kwetu ajira basic za Tamisemi hazina ubaguzi kama wao.
Wao wengi wanafanya kazi na wame invest nje ya Kenya tena nchi za hapa Africa mashariki. Wa pumbavu hawa wanafanya kazi ambazo zinaweza fanywa na wa...
Tanzania hatutafikia hatua ya katiba mpya hivi hivi wakati katiba mpya haiwapi favour wanao enjoy nchi.
Lazima tupitie katika tanuru la moto ndiyo nchi itakuja ku stablize kwanza nchi yetu haijawahi pitia misuko suko zaidi ya uchaguzi uliopita. Tulitaka kuruka stages.
Hata nchi zilizotulia...
Kwa namna ya mtoa maada. Hata akimaliza kazi ataanza kujishikiza kwenye garage za watu na ataacha kazi!.
Naona ni mapito tu ya maisha ajaribu kuangalia kitu atadumu nacho ambacho ataona kina future nzuri hata akianza kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.