Recent content by jitaland

  1. jitaland

    Inawezekana kujitoa kwenye Bima ya NIC

    Nashukuru sana Kiongozi...Asante sana
  2. jitaland

    Inawezekana kujitoa kwenye Bima ya NIC

    Nimeziona hii post Leo baada ya miaka mingi kupitia..I wish ningeiona zaman nisingejiunga...Mimi nimekuwa muhanga wa Hawa washenzi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujiondoa anisaidie
  3. jitaland

    Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Nimewaza kama wewe...kama ka familia kadogo tu ka Chadema kamewashinda kuongoza wataweza kuliongoza taifa kweli??? Na mbowe anaonekana ni mroho na mlafi wa madaraka inaonekana wazi hata akipewa nchi anaweza geuka Museveni au Kagame
  4. jitaland

    Nina tatizo la usikivu. Je, ninaweza kusomea kozi gani kuendana na hii hali?

    huwa wako vizuri sana Ekenywa...mdogo wang alisumbuliwa na usikivu hafifu ila alipewa tiba na mpaka sa iv yuko vzuri kabsa na imepita karbu miaka 20 sasa
  5. jitaland

    Naomba kufahamu hatua za kuchukua pesa zangu NSSF

    Habarini ndugu zangu. Naomba ushauri wenu kwenye hili. Mimi ni kijana wa Kitanzania, nimefanya kazi kwenye shirika flani la watu Binafsi kwa miaka kadhaa..na sasa nimepata kazi serikalini. Naomba ushauri jinsi ya kupata pesa zangu za NSSF hatua gani nachukua na pia nazipataje zote kwa pamoja...
  6. jitaland

    Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

    hahah Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
  7. jitaland

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    hahaha next thread...mapenzi....[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jitaland

    Katika Kutongoza, tuambiane tu ukweli kaka zangu. Bila chuki wala nini mna fail sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jitaland

    Naomba msaada wa 'Keys' za Kaspersky Antivirus

    asante kwa kunipa elimu[emoji736] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jitaland

    Naomba msaada wa 'Keys' za Kaspersky Antivirus

    uko sawa sana bro Sent using Jamii Forums mobile app
  11. jitaland

    Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

    Alhamdulilah simba tumechukua 3 muhimu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jitaland

    Naomba msaada wa 'Keys' za Kaspersky Antivirus

    hahaha hazijatoka nn mkuu[emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. jitaland

    Unangoja nini karibu eternal international kupima afya yako

    bei ni nzur tajulisha ndugu na rafik Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom