Unangoja nini karibu eternal international kupima afya yako

Lady niece

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
954
225
Unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa ETERNAL INTERNATIONAL kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga Utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua katika lindi la umaskini na kujiongezea kipato zaidi, USISITE karibu sana
ETERNAL INTERNATIONAL CARE BIOTECHNOLOGY

KWA UPIMAJI WA AFYA YAKO

Afya njema haina thamani ya kuinunulia. Usione uvivu au taabu kupima afya yako. Sasa unayo fursa nzuri ya kupima afya yako kwa 10,000/= Tsh. itumie fursa hii usichelewe bado ipo.

Kupima afya si lazimia uwe mgonjwa au unaumwa hapana, tunaweza kujiona tuko kamili kabisa na tuko vizuri kumbe afya zetu ni mgogoro vijimaaradhi vinatunyemelea bila hata kujijua wenyewe mana twajiona tuko vizuri kila wakati. Njia rahisi ya kujua afya zetu na kujiona tuko fresh ni kupima mara kwa mara kitaalamu.

Usiopoteze fursa hii maridhawa kupima afya kama wewe unajijali. Kituo kipya cha afya kinachopima afya ya mwili wako wote (body checkup) kitapima na kukupa marejesho ya afya yako
mambo wanayofanya
a) kupima afya
b) kupewa ripoti ya afya yako na ushauri bure
c) kupata fursa za kibiashara na kuuza bidhaa zao za afya

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUFIKA KITUONI KWETU BASI NIPIGIE AU NITEXT KWA NO. 0717 960517 TUPO KINONDONI MOROCO KARIBU NA JENGO LA AIRTER KARIBUNI SANA

NA KAMA UNATAKA KUWA MWANACHAMA KARIBU PIA KUJIUNGA NIPIGIE KWA NAMBA HIYO HAPO JUU KUKUPA MAELEKEZO ZAIDI
 

Attachments

 • melatonin.jpg
  File size
  63.3 KB
  Views
  24
 • FISH CAPSULE.jpg
  File size
  58.6 KB
  Views
  21
 • antipetic.jpg
  File size
  8.6 KB
  Views
  22

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Naona tangazo ni kupima afya lakini kuna bidhaa haalfu kun akujiunga!! Haka kamseto sijakaelewa....
 

Lady niece

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
954
225
NGOJA NIKUELEWESHE KWA UFUPI

A. NI KUPIMA AFYA YAKO (BODY CHECKUP) KWA GHARAMA YA SH 10,000/= AMBAYO NDIO KIPAUMBELE ZAIDI KWAKO

B. KAMA UTATAKA AU UTAPENDA KUWA MWANACHAMA WA ETERNAL UNARUHUSIWA KUJIUNGA NA UKIWA MWANACHAMA WAO UTAPATA FURSA ZA KIBIASHARA ,NA KUUZA BIDHAA ZAO. NADHANII MPAKA HAPA UTAKUWA UMENIELEWA KIDOGO ILA KARIBU ETERNAL INTERNATIONAL UTAFAHAMU ZAIDI YA HAYA NILIYOKUELEZA KWA UFUPI HAPA ASANTE


Naona tangazo ni kupima afya lakini kuna bidhaa haalfu kun akujiunga!! Haka kamseto sijakaelewa....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom