kwa bahati mbaya tu mambo haya yamekuwa bayana,lakini mchezo huu miaka yote unafanyika hasa kutokana na umuhimu wake.Ni vizuri kwa viongozi kujifunza na kujua wenzetu wanafanya nini.Jambo la kujiuliza ni kwamba ziara kama hizi zinafanyika karibu kila mwaka lakini mbona ufanisi hatuuoni?Kila...
jamani waalikeni wadau wengine na waambiwe kuwa ukitaka kuishi maisha marefu ni lazima wajiunge jamii forum,kwa kweli nacheka,nafarijika na hata kuondoa strss zote kila nikiwa jamii forum.Hongereni wadau wote na Mungu awajalie afya njema
Moyo wenyewe unasema,lakini kama umependea mali ujue umekosea,mchukue huyo wa mwanzo kwani huyo wa pili ni kwa kuwa ni mpya kwako na binadamu hupenda kuvutika na vitu vipya.Au mpe kama anahitaji na kisha pata muda utajua nani anakufaa
Huwa unawaza nini ,manake kama wewe huna nia nae kwa nini unachukia.Mimi niliwahi pia kumsema kijana ambaye naye alikuwa na tabia kama hiyo ya kutembea na wasichana tunaowalete watusaidie malezi ya mtoto lakini ikanibidi nimwite mbele ya kakake na kumsema
lakini wenyewe nao wanapenda sasa...
kwa hakika tunahitaji kuwa na upinzani wenye nguvu,kwa nini tusijifunze kutoka kwa wenzetu kutoka nchi jirani? wapinzani kwa hakika wapunguze maslahi binafsi na kuimba mageuzi wakati hawana dhamira ya kweli.Tumepuuza kuwa UMOJA NI NGUVU
Binadamu hachungwi kama ng'ombe ukishaona dalili hizo ujue keshapata mjuzi mwingine ukizingatia kuwa mko mikoa tofauti hivyo kila mtu kujiona huru kufanya jambo lolote bila woga.kwa bahati mbaya zaidi ni wapenzi tu
:A S-confused1::A S-confused1: KWA WANAWAKE JE.KUNA UBAYA WAKIUNGURUMA?MIMI NAFIKIRI SULUHISHO NI KWAMBA HUYO MTU WAKO AZOEE AONE NI SAWA NA MATATIZO MENGINE YA BINADAMU.
aNAYEKUPENDA KWA DHATI HATAONA SHIDA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.