Ungekuwa ni wewe mdada ungefanyeje.

Ungekuwa ni wewe mdada ungefanyeje.

Eiyer ni sawa kwenye uzinzi lkn bora hajaitoa,kwan mtt hana kosaa azaliwe tu,kwani kosa lishatendeka hakuna jinsi na naamin kama ametubu ashasamehewa

kuzaa sio kosa ata kama amepata ujauzito wakati gani
 
kama unao uwezo wa kulea mimba na mtoto achana nae huyo jamaa hakufai hata kuwa baba wa mtoto hafai, unless kama kuna makosa dhahiri ulimfanyia.
 

mtoto ni zawadi,lea mimba yako
zaa katoto kako,kalee mwenyewe yani
usimtafute tena huyo kaka,kwanza muuaji mkubwa
kama alitaka umuue mtt, kumthamini ni ngumu!!
 
kwanza hongera kwa kutokutoa hyo mimba.. bt huyo kijana hajielew alikwambia ukatoe mimba huku pia akiwa hana uhakika kama ni yake au la, anyway we endelea kutunza mimba yako mpaka utakapojifungua na umlee mtoto wako vzr, kama atatoa support bas itakuwa poa, asa huyo mtoto asipofanana nae inabd ujipange vzr.. othrws u can go for DNA test kama unauhakika huyo mtoto ni wake kuondoa utata.. n you are the only one who knws the father of your baby.
 
huyu jamaa yako simuelewi,

je, ulipomwambia una mimba alibisha kuwa mimba si yake? mbona alikubali kukupa hela ukatoe!

uliposema hukuitoa kwa nin anasema atatoa hela ya matunzo kama akijiridhisha kuwa mtoto ni wake!. kiufupi hajielewi.

ndo ushapata hasara hivo, we lea mtoto wako wala usimhusishe.
 
Baba anaemkana mwanae kabla hata hajazaliwa huyo sio baba.(sio kila mwanaume ni baba).....wala usimhusishe kwenye kutunza ujauzito wala kulea mwanao.....muache aendelee kula ujana.....being a single mom is a very tough job bt u hv to do for ur baby....one day hutajutia maamuzi yako.Good luck.
 
mbona mkiambiwa mnamimba za watu mnaruka ft 100?
Ukiikataa ni yangu, ukinisogelea utaoga mate walah!
RED:1. hatuwaammini, mnakuwa na wengi
2. nilikwambia muda wa kuibeba haujafika, ukajiachia

Blue:mate yako nilishayaogea, na unajua hilo...hayawezi nitisha saa hizi
 
Mimba yako mtafuta ww harafu unaniuliza ningefanya nini hapa tunatatua matatizo name sio kuchezewa kauliza sokoni au kwa wacheza bao.
 
Back
Top Bottom