Habari wana jamvini,mimi ni kijana mwenye umri 27,mrefu 5.9feet,umbo la wastani,natafuta msichana alie searious kuanza maisha na kujuana zaidi,awe anaishi england,wales au scotland,mtanzania itakuwa ni bonus tho its not essential cha muhimu awe na heshima na tayari kuanza maisha,mimi ni professional na nna kazi yangu full time na nina makaratasi yangu,just for peace of mind,kabila dini si tatizo kwangu,yeyote alie interested anaweza ku ni inbox na tukapata kufahamiana zaidi na email zote zitajibiwa,naomba kuwasilisha.