Imenitokea jana, nimeandaa mzigo jamaa kaja na lugha nyingi mwisho wa siku kanikatisha kabisa tamaa, ila bado napigana na nitafanikiwa tuu,,,,according to napelion..the word imposible found only in a dictionary of fool,,, i will make t
Hahahahaaa, eti final stage,,,mara ya mwisho ishu za nbaa umefatilia lini? Na uliposkia ishu za final stage nbaa uliskia unatakiwa uwe na sifa gan kufanya final stage?
Jitahid uwe unafatilia mambo japo kidogo kujua sifa na jinsi nbaa inavoenda kimitihani
Kumbe upo kwa madem?
Mimi nimesoma hapo nmemaliza 2009, na sijawah hangaika na kaz na sehem nlizopitia kma nne, washaniita zaid ya mara mbili kufanya training kwa staff wao ktk accounts na organization nyingine jumatat ijayo na kaz nao. Kinachonisikitisha siku zote ni kuona hizo orgs ni kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.