jirani27
Member
- Apr 15, 2014
- 56
- 15
Hahahahaaa, eti final stage,,,mara ya mwisho ishu za nbaa umefatilia lini? Na uliposkia ishu za final stage nbaa uliskia unatakiwa uwe na sifa gan kufanya final stage?Mm sifanyi accounting and finance lakini hata NBAA wanawakubari sana wanafunzi wa IFM na UDSM kwa kufanya final stage CPA........Na huwa nasikia syllabus ya hivyo vyuo hazitofautiani sana na NBAA katika maswala ya accounting.
Jitahid uwe unafatilia mambo japo kidogo kujua sifa na jinsi nbaa inavoenda kimitihani