Recent content by Jimz Group

  1. Jimz Group

    Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

    Uzi Mzuri; Jersy zinatembea sana. Kwa Jumla unaweza kuwacheck iMart Discount Stores wana bei nzuri na quality nzuri sana unapiga hela kama upo mkoani. Namba zao ni 0778250300
  2. Jimz Group

    Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Bishoo kwenye ubora wake 😂😂
  3. Jimz Group

    Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
  4. Jimz Group

    Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

    Karibia asilimia 90% ya JBL bongo ni copy, ubaya wauzaji wengi hawasemi ukweli na kwa mteja akishaona logo tu anaamini.
  5. Jimz Group

    Usalama wa Kompyuta Yako ni Muhimu Sana

    Wote mnakaribishwa chief
  6. Jimz Group

    Usalama wa Kompyuta Yako ni Muhimu Sana

    Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama: 🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi. 📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika. 💻 Kusababisha kompyuta yako kufanya kazi polepole au kutofanya kazi kabisa. Virusi ni adui wa kimya ambaye...
  7. Jimz Group

    Fuatilia route za gari/pikipiki/bajaji yako

    Je, wewe ni mmiliki wa gari binafsi, bodaboda, bajaji, au una biashara yenye magari mengi? Tracking ya magari sio anasa tena – ni haja! 🔑 Kwa Mmiliki Binafsi: Jua chombo chako kiko wapi 24/7. Hakikisha usalama wa familia na mali yako kwa kufuatilia mienendo ya gari lako. 🚚 Kwa Mwenye Biashara...
  8. Jimz Group

    🔒 Backups ni Muhimu: Jipatie Flash Drives kwa Jumla na Reja Reja!

    Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji. 📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
  9. Jimz Group

    SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-kamera-za-cctv-zinavyoimarisha-usalama-nyumbani-na-kwenye-biashara-yako.2173535/
  10. Jimz Group

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asalam Alyekum, vifaa Genuine vya 1KZ Engine tunaweza pata mkuu? 1KZ Engine* 1. Ring Piston - standard or Oversize? 2. Main & Con Bearing - Sizes? 3. Overhaul Gasket 4. Head Gasket - Notch? 5. Thrust Washer - standard or oversize? 0737397700
  11. Jimz Group

    Ninawazo la biashara ya kuuza luninga (TV) na 'Subwoofers'. Niandae mtaji kiasi gani?

    Usiogope Mkuu, kama umefanya utafiti na soko lipo we anza, wachecki hawa 0737397700 kwa TV na Subwoofer za Boss, Aborder, Kodtec kwa bei za Jumla. Ukienda nao vizuri wanaweza kuwa wanakupa mzigo halafu unauza then unawalipa hela yao Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  12. Jimz Group

    SoC01 Mwanafunzi Bora Chuo Kikuu Mzumbe aliyejiajiri kwa kukusanya na kubeba taka na kufanikiwa

    Hongera sana kaka, na mimi pia ningependa kuiona. Shukran sana Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  13. Jimz Group

    Umewahi kupamba nyumba yako kwa Tanga stones

    Mkuu na mimi nitumie kama hutojali Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  14. Jimz Group

    Naombeni Maoni Yenu Juu ya Hii Video (Usikate Tamaa)

    [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2305] hizi sio habari nzuri kwa msanii wetu. Ila mambo yameboreshwa sana kuanzia 2017
  15. Jimz Group

    Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha

    Unaiuza sh ngapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom