Kwa uwezo wangu mdogo wa kuelewa nadhani wale waliokuwa wanachukua picha ndio walipaswa kuwafunika sura wale watoto. Sababu nimoja ya maadili yao ya kazi.
Kwa kawaida ukitaka kuvaa sare za polis au Jeshi lazima uombe kibali . Wakikuruhusu ndio unazivaa. Vinginevyo zaidi ya hapo watakuchukulia hatua za kisheria kama utakua huna kibali.
Nijambo la kawaida tu.. Kwanza nikama uhamasishaji ili na wengine wajitolee. Mbona sehem nyingine cash zinatolewa zaidi ya hizo na hakuna tatizo. Au kwasababu ni rais?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.