Si ndio hao wanaokula konokono kama nini? Kweli hakuna haramAisee hata sijui ni wanyama gani hawa hapo ni Kumasi meat market Ghana
Hahaha......vipi kama mnofu ni wa mbwa alafu unakuta muuzaji ni mhehe wa Iringa(Kidding)??😀😀Kawaida yangu ni kwamba kama nitanunua mishikak ya uswahili basi kama nitanunua ya buku 2 basi ujue ya jero lazima muuzaji aanze kula kabla cjaanza mimi.. Kama ni kimeo tule wote
hahaha.......hata kama ni ya panya,chura,mbwa,nguchiro?you can't be serious mkuuUtamu wa shokishoki Ladha yake nyama tupu ( bila kujali ni ya nini)
Duuuh hapo inakua bila bila tu.. Ila poa tu cha msingi na yy katupiamo,Hahaha......vipi kama mnofu ni wa mbwa alafu unakuta muuzaji ni mhehe wa Iringa(Kidding)??😀😀
Hahaha...kweli mkuu,ila me nimekuwa mwangalifu sana kula mishikaki hasa ya barabarani.Kuna siku nilikula nikitoka Dodoma maeneo fulani humo barabarani nikaapa kutorudia tena kula nyama za barabarani😡😡Duuuh hapo inakua bila bila tu.. Ila poa tu cha msingi na yy katupiamo,
Yan kutupiamo kwake tu , mi nakua nishapata imani...
Malizia basiMchagua nyuchi si....
Ya binadamu nayo ni nyama lakini
Huwajui wachina wewe!West Africans wanakula vyakula vya ajabu sana.
Ivory Coast wanakula konokono.