Recent content by Jimny

  1. Jimny

    JamiiForums Tanzania Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Elimu ni kwaajili ya kukutoa ujinga ,ukitaka pesa fanya kazi
  2. Jimny

    JamiiForums Tanzania Najilaumu kutokununua ardhi Mbezi Kimara kipindi hicho

    Atasema ulipigwa
  3. Jimny

    JamiiForums Tanzania Najilaumu kutokununua ardhi Mbezi Kimara kipindi hicho

    Sikulaumu,Vijana wa Arteta hawanaga bahati nl😀
  4. Jimny

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa na microfinance million Tano

    Kwamba ajishitaki siyo🤣
  5. Jimny

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutodumu na wafanyakazi inatishia kunifilisi

    Naomba hiyo kazi,nitaifanya kwa weledi mkubwa,natanguliza shukrani zangu za dhati
  6. Jimny

    JamiiForums Tanzania Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

    Napendekeza kama mtu ana soft copy ya kitabu hicho kilichombadilisha ambatanishe pia.Asante
  7. Jimny

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

    Afadhali mama yako angezaa mkate akala na daktari 🤣
  8. Jimny

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

    Eti umemuona Lingard tangu ukiwa mdogo na sasa ana miaka 30+???...🤣🤣...sasa uzee na miaka hiyo wapi na wapi???kama ulimwona Lingard ukiwa bado mdogo basi wewe ni below twenti.
  9. Jimny

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Acha kukaza fuvu,umeandika uharo,Raisi na makamu wake hawawezi kutoka wote upande mmoja wa Bara.
  10. Jimny

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna mtu nitamwambia aangalie,The day of the Jackal atabisha wakati humu ni unyama tupu mpaka damu zinamwagika
  11. Jimny

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Vipimo vinaonesha una malaria 2
  12. Jimny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina kitu, Bado nipo chuo ila Kuna sauti ya kuoa naisikia moyoni

    This is a dumb shit idea ever,huna maisha unataka kuoa ili huyo mke ndiyo akuletee maisha?Tafuta maisha kwanza hiyo ndiyo nyenzo kuu kuliko kuoa kwanza,na hizi mbanga za kulinganisha mafanikio/ndoa na umri ndiyo zinawaua na depression na kuishia shimo la hewa.,ndoa siyo dhumuni kuu la wewe...
  13. Jimny

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    Unatuona matako Yako siyo? 😂
Back
Top Bottom