Recent content by Jimmy K.

  1. Jimmy K.

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Yaani wakati mwingine polisi wetu wanakosa ustaarabu. Huwezi kumuita mtu mchochezi kwa kusema ukweli. Nadhani this is a very great mistake of all time.
  2. Jimmy K.

    Wakuu msaada kufungua websitd kutumia dreamweavercs5

    Bonyeza open (Iliyo mkono wa kulia) Angalia page unayotaka kufanyia kazi kutoka kwenye folder la site yako au kwenye server ifungue. Mie natumia computer yangu kama server na nikisha pamaliza kufanya kazi napandisha pages zilizofanyiwa matengenezo kwa kutumia FTP Woow ingia kazini
  3. Jimmy K.

    Swala la kujiunga na OIC Hawajalipatia Ufumbuzi?

    Mjadala umeshakuwa wa dini tena? basi mod peleka kitu hii kwenye dini. Hatutaki kujadili mambo ya dini huku. Mwisho tupate ban bure.
  4. Jimmy K.

    Swala la kujiunga na OIC Hawajalipatia Ufumbuzi?

    No comment mkuu. Umesema yote.
  5. Jimmy K.

    Questioning the use of Tanzania Mainland instead of Tanganyika

    Kwa hiyo unshauri tuwe na kura kama ile ya ccm na cuf inayotegemewa kuwepo mwaka huu?
  6. Jimmy K.

    Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali afariki dunia

    Huwezi kumwombea mtu amani ya milele akishakufa. Huo ni kama usanii tu. Hapa naomba faraja kwa wafiwa. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha kuondokewa ndugu yao.
  7. Jimmy K.

    Hatuhitaji kirusi cha ccm hai

    Barikiwe na Mungu aliye hai baba
  8. Jimmy K.

    CCJ Iko wapi?

    Mwanakijiji na sisi J mna kazi kweli. enheeeeeeeeeeeee
  9. Jimmy K.

    Mikoa mitatu mipya kuanzishwa

    Wacha tu waendelee kuikata nchi vipande vipande na hivyo vipande vipande vinakuwa vua kikabila na hivyo vipande vipande ni kurahisisha kupewa vyeo washikaji wao. Watu wamekenua meno tu hata wasomi wetu. Unaweza kushangaa kama nchi hii ina wasomi.
  10. Jimmy K.

    Mikoa mitatu mipya kuanzishwa

    Tena vitagawiwa kwa wale vimbelembele watakaoonekana wakati wa uchaguzi
  11. Jimmy K.

    Swala la kujiunga na OIC Hawajalipatia Ufumbuzi?

    Suala la OIC subirini hadi mwisho wa miaka ya 2015 hapo nina hakika litajirudia. Kwa sasa liko likizo ya lazima maana bado twahitaji ushindi wa kishindo. Historia itaandika.
  12. Jimmy K.

    Big help to students at all levels

    :D siwezi kujizuia mkuu
  13. Jimmy K.

    Mahakama Kuu yafuta kifungo cha BAWATA: Justice was delayed...

    Umesahau kusema ukweli au umekwepa kusema ukweli makusudi tu. Kama BAWATA ingeachiwa kufanya kazi yake leo tusingekuwa na kitu ile wanaita UWT(ile ya SISI M.) ingeshakufa na kuzikwa na wanawake wote wangekuwa kitu kimoja si kama wanavyoishi kwa hawa opportunist wanajiita UWT wakati ni wake wa...
  14. Jimmy K.

    JamiiForums Advert Competition

    Icadon nimepata wazo kwamba kwa nini kwenye tangazo hilo usiweke maandishi kuwa jamii forums inapokea matangazo(Adverts) na ku host web? maana nadhani jamii forums inahitaji matangazo mengi kuwa hosted hapa kwa ajili ya ustawi wake. Mtandao huu unatembelewa na maelfu ya watu kwa siku na hapa...
  15. Jimmy K.

    Precisionair Yakatiza safari baada ya kuruka dakika 10

    Kosa la pilot ni nini? yeye kaona hatari na kurudisha ndege, sasa mlitaka nini? Watu wengine bwana unashindwa hata kuwaelewa!
Back
Top Bottom