CCJ Iko wapi?

CCJ Iko wapi?

naomba hili isiwe kweli;

- kwamba ccj ilikuwa tego.
- kwamba ccj iliundwa ili kuwafanya wapinzani wa kundi la watawala
ndani ndani ya ccm wajitokeze kwa kuhamia ccj ili iwe rahisi
kuwamaliza kisiasa na kuondoa upinzani ndani ya ccm.
- kwamba baada ya tego kuonekana halina mafanikio kikawekwa chambo
kiitwacho mpendazoe ili wengine wafuate
kwamba waliowekewa tego la ccj wameshtuka na hakuna aliyenasa
kwamba ccm inapanga tego lingine ili kuwamaliza wapinzani kabla ya mambo hayajaharibika

naomba isiwe kweli hata chembe.
 
naomba hili isiwe kweli;

- kwamba ccj ilikuwa tego.
- kwamba ccj iliundwa ili kuwafanya wapinzani wa kundi la watawala
ndani ndani ya ccm wajitokeze kwa kuhamia ccj ili iwe rahisi
kuwamaliza kisiasa na kuondoa upinzani ndani ya ccm.
- kwamba baada ya tego kuonekana halina mafanikio kikawekwa chambo
kiitwacho mpendazoe ili wengine wafuate
kwamba waliowekewa tego la ccj wameshtuka na hakuna aliyenasa
kwamba ccm inapanga tego lingine ili kuwamaliza wapinzani kabla ya mambo hayajaharibika

naomba isiwe kweli hata chembe.
Ndiyo unagundua leo! ilipangwa toka 2008 utekelezaji ukaanza May 2009 kwa watangulizi kufukuzwa jeshini + Newspapers + Msajili kufanya usanii kama vile anaisumbua Ccj wakati si kweli + Leading Journalists walikuwemo + Wapambanaji(Mpendazoe) +........+ walipoona mpango haujafanikiwa viongozi feki wakajifanya wamevulunda kwenye uhakiki lengo likiwa ni kumsafisha Msajili........... unfortunately it is a loosing battle.

na mimi naomba isiwe kweli.
 
Baadhi ya watu humu walikuja juu na kukisakama CCJ na kuukandia ujio wake. Leo hii, Mzee aliyekuwa anawa-spoon feed habari za CCJ kwa nia njema kabisa mkaanza kumshutumu na kukijia juu CCJ. Sasa ameamua kuakaa kimya mmeanza kumchokoza. Hivi ninyi wenyewe hamuwezi kwenda kwenye 'news rooms' kutafuta taarifa za CCJ? Badala yakufanya homework hiyo mmekalia uvivu tu na kutaka kuwa spoon fed!

Rome was not built in a day. Let CCJ be.

Ofkozi,Roma haikujengwa kwa siku moja,na mtoto hazaliwi kisha akaanza kutembea siku hiyohiyo_However,japo Roma ilijengwa kwa miaka,wajenzi walianza na msingi kwani sote twafahamu kuwa hakuna nyumba inayoweza kuelea hewani pasipo msingi.Vilevile,mzazi makini anapaswa kutambua kuwa japo mtoto hazaliwi akatembea,anapaswa kutofautisha uchanga unaozuwia kutembea na ulemavu wakudumu.
 
CCJ hawana lolote nafikiri walifikiri siasa rahisi. Walisahau kumuliza Dr Slaa badala yake wakamdharau. Nadhani wataanza kutafuta ushauri sasa.

Mkuu,
Hapa hakuna suala la ugumu na urahisi wa siasa. Suala lililopo ni ufisadi na unyang'au wa CCM unaosababisha kuminywa kwa demokrasia ya kweli kwa kukifanyia njama za kukihujumu CCJ kwa hofu kwamba kinaweza kufanya kweli na kukubalika kwa wananchi na kuipiku CCM kwa kishindo kikubwa. Hilo ndilo tatizo na wala si ugumu wa siasa. Hata Dr. Slaaa alikumbana na vikwazo hivyohivyo vinavyoikuba CCJ. CCM hawataki uwepo upinzani wa kweli kama demkrasia ya kweli inavyotaka.

Mkuu Brigita,
Chapakazi kaandika hivi:
Yeye ni nani mpk tusimuulize imekuaje?
This sentence is very 'provocative' I might say! Yeye ni nani maana yake nini?
 
Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama?
Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei?
Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia,
Taafaadhali isije kuwa decoy mkuu!!!
Inawezekana bado iko kwenye makabrasha yaliyohifadhiwa kwenye makabati tayari kufanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu. Bahati mbaya ni kuwa kama uchaguzi mkuu utapita bila kujua nini kifuatie basi tunaweza kabisa tukaisahau CCJ. I hope that is not the case.
 
majibu mengine hayatoshi kwa maneno. Hivi kuna watu humu wamewahi kwenda jeshini?

Mimi sijawahi kwenda, ila ni mpenzi sana wa movie za wanajeshi wanajeshi.Naamini CCJ siyo kama zile movie ninazo ziona. It is something REALLY
 
wrong.. tatizo lako unafikiri niko defeated au CCJ iko defeated... well I can't convince you otherwise.

Defeat in relation to the matter at hand. Je CCJ itashiriki uchaguzi 2010? This is a simple Yes or No question! I think NO. But wld be impressed if you can prove me wrong!!
 
You must be out of your mind! Nyerere died a hero inside Tanzania, Africa and the world because of his Ujamaa. Umesahau jinsi vijana kutoka kona zote za Tanzania waliojitokeza kuupokea mwili wake Dar airport na kulifuata jeneza waki-joghadi Msasani bila kuchoka wakiimba nyimbo zilizojaa sifa, kwa mkombozi wao Baba wa Taifa lao? Aliwezaje kuwa hero kiasi hicho - ni kutokana na huo Ujamaa wake unaoucheka hahahaha!

Wakati unadai MMKJJ ni nani kumbuka kwamba Nyerere naye wazungu walijiuliza hivyohivyo kwamba mzanaki huyu ni nani kwani kiasi cha kudhani kwamba anaweza kuongoza mapambano dhidi ya sisi wazungu na uzungu wetu. Yaliyotokea kama huyajui waulize wanaosoma jinsi Uhuru wa nchi hii ulivyopiganiwa na kupatikana. Wee dharau tu kwa kuuliza fulani ni nani, usijejikuta unaacha mdomo wazi huko mbele ya safari kwa mshangao!

Kwa hiyo Ujamaa haukushindwa? Kwani Nyerere ni Ujamaa peke yake. Kuwa mpiginia uhuru na rais wa kwanza ilikuwa tosha katika kufanya apewe hizo sifa unazozizungumzia!! Kama wewe unadhani ujamaa ulikuwa a success...basi tena! Unadhani ni kitu gani kilimfanya Nyerere 'ang'atuke'? Tatizo wengi wamebaki wakimwabudu Nyerere kama vile bila yeye Tz isingepata uhuru! Huo ni upuuzi mtupu. Mmekuwa brain washed kabisa! Nyerere aliua, na kufanya watu wengi sana kukimbia Tz...anyone who dared to challenge him! For me, he is not the great leader most believe he is! i believe his greatest achievement ni unity kwa Watz, kwa mengine alikuwa hovyo tu!
 
Mmekuwa brain washed kabisa! Nyerere aliua, na kufanya watu wengi sana kukimbia Tz...anyone who dared to challenge him! For me, he is not the great leader most believe he is! i believe his greatest achievement ni unity kwa Watz, kwa mengine alikuwa hovyo tu!

aliua kina nani? tupe idadi tu ya watu waliouawa nje ya sheria? Hadi anajiuzulu mwaka 1985 aliidhinisha hukumu za kunyongwa kwa watu wawili tu (ndani ya karibu miaka 25 ya utawala wake) wakati Mwinyi wakati anaondoka alikuwa ameidhinisha zaidi ya watu 20 ndani ya miaka 10, Kikwete ndani ya miaka mitano utaogopa! Mkapa aliidhinisha siyo hata kunyongwa mauaji ya zaidi ya watu 20 Pemba na Mwembeyanga!
watu "wengisana " waliokimbia nchi ni wapi hao ambao wasingekimbia kwa sababu nyingine?
 
why would you be impressed?

B/c u will have stood against the 'almighty' CCM. It's obvious that CCM made sure CCJ will not take part in these up coming elections. It will definitely be a blow to them if CCJ manages to do so! And that wld be impressive. Probably the first real challenge to CCM's authority in this country!
 
Hongera sana!! Unafikiri jeshi zima la Marekani linalopigana Iraq au Afghanistan wote wako Iraq na Afghanistan? Ungejua mambo yanayofanyika Northern Command au Pentagon yenye effect Kandahar au Baghdad ungeshangaaa.. Msijidanganye kwa kuamini kuwa mtashinda kwa "the ground approach tu". Shauri lenu.
Sisi wakina nani? wapinzani au?
Show our true colour bana!!
 
Ni kweli tunahitaji kujua nini hatima naona ukimya umetawala ..hakuna report tena za CCJ kulikoni??
 
majibu mengine hayatoshi kwa maneno. Hivi kuna watu humu wamewahi kwenda jeshini?
Mimi sijawahi kwenda jeshini, kwa hiyo mko kwenye drawing board au mko kwenye stage ipi katika process ya revolution kwakumtumia CCJ?
 
aliua kina nani? tupe idadi tu ya watu waliouawa nje ya sheria? Hadi anajiuzulu mwaka 1985 aliidhinisha hukumu za kunyongwa kwa watu wawili tu (ndani ya karibu miaka 25 ya utawala wake) wakati Mwinyi wakati anaondoka alikuwa ameidhinisha zaidi ya watu 20 ndani ya miaka 10, Kikwete ndani ya miaka mitano utaogopa! Mkapa aliidhinisha siyo hata kunyongwa mauaji ya zaidi ya watu 20 Pemba na Mwembeyanga!
watu "wengisana " waliokimbia nchi ni wapi hao ambao wasingekimbia kwa sababu nyingine?

Mimi siongelei hawa wa adhabu ya kunyonga kutoka makosa ya jinai. I am talking about political instigated murders, unless kama hizi za kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete ni political murders zilikofichwa katika makosa ya jinai. Sasa wewe unataka nikupe majina ya waliokimbia nchini? The most prominent figure is Oscar Kambona (for me, more of a man than Nyerere). Kuna ma-proffesors kadhaa walikimbia Tz...whom i personally know. Kuna watu kibao waliokuwa na mali zao ambazo zilikuja kuwa confiscated na wao kuwekwa ndani kisiri, under the disguise of UJAMAA (yet i guess sera ya ujamaa is relative, maana kama ulikuwa nacho uliumia, na kama hukuwa nacho, ulipatia). Its just that they wont speak out about it. But there were definitely secret imprisonment, na hata mauaji. Ivi Kombe alikufaje? At that time nani alikuwa anatoa orders ndani ya CCM? Give credit where credit is due, but plz...do not worship a person! He wasnt that great!

P.S: Naona as a true politician u never dared to answer the question, kama CCJ watashiriki uchaguzi 2010.
 
Watakuwa wanasubiri matokeo ya barua yao ya kulialia kwa Wazungu. Obama amtume Hillary Clinton kuingilia kati.
 
Back
Top Bottom