Recent content by Jimmy George Sanga

  1. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ninadra sana DC au RC kupendwa na Wananchi namna hii

    Kuna siku itafika tutawarudisha kwao😎
  2. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania MSAADA

    Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi. Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati yangu kwenye gurudumu hili la utumishi kama wengine walivyojaribu. Nimekuja mbele yenu kuomba...
  3. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Naomba kuuliza pia wanafunzi wanatakiwa kwenda na vitu gani au kuandaa vitu vipi mana kwenye tangazo lao hawajaonesha wameweka tarehe tu basi ya kwenda na je kunauwezekano wa kubadili kambi?
  4. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    HII NCHI IPO SIKU TU....
  5. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SGR from makambako to mbeya 76EE95F Bp[emoji95]
  6. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Tafuta connection kazi zipo mbona
  7. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Je, Economy Driver Company sio matapeli?

    "hao mpaka waseme na watasema" akili ni nywele mtu wangu
  8. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Tuanze kwanza na kozi uliyosoma, yawezekana tatizo sio kupata kazi tatizo ni kitu ulichosomea.
  9. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

    Huku kwetu chakijani kinafanya mikutano kila kata na kila Kijiji kumsifia mama
  10. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Ina kb 164 nimetumia scanner ya epison na naupload kwa simu
  11. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Mkuu kwangu attachment ya barua inagoma inasema imeshindwa due to low capacity/ memory asa cjajua Nini shida nimejaribu kui compress barua nako bado yazingua msaada apo shida Ni nn
  12. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Tangazo limeeleweka vizuri kabisa lakini tunatuma ivyo ivyo dadeq watajua hawajui, tumeshasota sana kitaa
  13. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Kwa Tanzania hii sidhani Kama inawezekana tumeshindwa kuviendesha vyuo vya ufundi tutaweza kuweka mtaala wa ujasiliamali?
  14. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Sababu kubwa ni kutokua na elimu ya ujasiliamali wengi tunatoka masomoni na mentality ya kuajiriwa then tukifika kitaa Mambo yanakua ndivyo sivyo na hii inapelekea kujaribu biashara mbalimbali lakini nazo wengi wetu tunaanguka kwa kukosa Ile elimu ya ujasiliamali
  15. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

    Tanzania eeh nchi yangu[emoji28][emoji28] yaani madirector wa kipengele cha video Bora ya mwaka hawapo kwenye kipengele cha video director of the year. Pua......pua....pua
Back
Top Bottom