Mleta uzi acha kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe....jitathimini acha ushabiki wa vyama ofisini na mtaani we are watching you....subiri Lowasa akiwa rais ndio uonyeshe mapenzi yako.....na usipobadilika tutakuondoa kabisa maana unahatarisha utekelezaji wa ilani....BADILIKA
Okay funga movement sensors ambazo unaziwasha baada ya kufunga duka....umaweza kuziwekea na siren(king'ora) ama ukazifanya zikawa zinawasiliana na wewe moja kwa moja kupitia simu ya mkononi
Mi nna taarifa za baadhi
1. Tuanze na Mussa Allan huyu alikua ni mnazi na shabiki mkuu wa fisadi EL baada ya Lowasa kuhamia Chadema kwa aibu Mussa Allan akabadili ID na kujiita Msalani ili aendelee kumsapoti EL huko alikohamia.
2. Faiza Foxy kaamua kukaa tu kimya sababu huyu rais aliyeko...
Clouds hawaku calculate vizuri vita vyao....kwa nchi zetu hizi ili ustawi vizuri unahitaji "a good chemistry" na viongozi wa kisiasa. Kila jambo na majira yake....haya si majira yao wakubali hilo na kulay low kwasasa
Chadema ni muhimu mkakumbuka ya kwamba Arusha yote sio ngome yenu mfano kwa uchache kata za Murriet,Terrat na Ungalimited ni ngome za CCM....na kwa jinsi mlivyogawanyika na kua frustrated mtavurugwa sana....trust me uchaguzi mdogo huu mnapigwa..
Wewe ni kuku mdogo sana kujua move za Ikulu...by the way Magufuli is the president mpaka 2025......hiyo picha haina maana yoyote pia nikukumbushe Ngariba haogopi mkojo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.