Msaada mwanangu kaanza kutoa meno chonge hii inamaanisha nini?

Wahli

Senior Member
May 30, 2017
111
110
Habar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri ahsante
63e5c113231fdd397c6a30d349b945c5.jpg
d12b70bf76df67e33ea66b1242da1495.jpg
 
Mambo mengine huwa ni urithi kwa baba au mama sasa kama wote hamna huenda sio mwanao ila Lea tu,waweza yaacha yakikua na yeye akasogea yanaweza toka ktk umri wa watoto kung'oka meno,au waweza mng'oa Hosp. Yakaota mapya
 
Vampire teeth mi nadhan hayana shida ki baolojia ila Kamila hapo ndo wajuzi wa mambo watajazia
 
Mkuu!!!kuwa na Amani. Mara nyingi mtoto anapoanza kuota meno huota kwa namna ya tofauti sana. Ila anavyoendelea kukua meno ujipanga na kuwa na muundo wa kawaida kabisa.
 
Too cute

Naona kawaida wa kwangu yalianza ya mbele yakaruka hayo machonge yakaenda kuota magego
Baadae yakarudi yakaota yote manne kwa pamoja

Nadhani ni utaratibu wake binafsi
 
Mambo mengine huwa ni urithi kwa baba au mama sasa kama wote hamna huenda sio mwanao ila Lea tu,waweza yaacha yakikua na yeye akasogea yanaweza toka ktk umri wa watoto kung'oka meno,au waweza mng'oa Hosp. Yakaota mapya

Aseeh mbona unantisha
 
Too cute

Naona kawaida wa kwangu yalianza ya mbele yakaruka hayo machonge yakaenda kuota magego
Baadae yakarudi yakaota yote manne kwa pamoja

Nadhani ni utaratibu wake binafsi

Ahsante
 
Habar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri ahsante
63e5c113231fdd397c6a30d349b945c5.jpg
d12b70bf76df67e33ea66b1242da1495.jpg

Atakua ana mutate na kua Vampire....njoo inbox nikupe dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom