Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
Aaah 0713 kabaang
 
Mkuu umekosea sana kusema ntarudi baadae..yan kila mtu ameconclude kwamba ulipakwa vilainishi.. lkn kama ni kweli we sema tu mkuu kama uliliwa puru hiyo
 
Dah....Ukichapiwa nawe tafuta mnyonge wako mchapie...full stop😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom