Recent content by jiliml

  1. J

    Biashara ya miili Iringa noma

    weka ratiba inakuwaga juma ngapi?
  2. J

    Tunaopenda burudani ya mziki mzuri

    wapi wale wa vidole juu wazee wakuchaji simu
  3. J

    Shilingi ya Tanzania imeshuka kwa 20% kulinganisha na Franca ya Burundi

    hakika kama tutaendelea nao huko wanatufikisha kesho tu
  4. J

    Shilingi ya Tanzania imeshuka kwa 20% kulinganisha na Franca ya Burundi

    makampuni ya simu na makampuni ya madini yameigomea serikali kujisajili kwenye soko la hisa la Dsm na serikali imekubali sababu kodi yao halisi itajulikana ila mama ntilie na machinga wakigoma wanapigwa-Kafulila
  5. J

    Weekend mbaya, outing imenishinda

    Vichakani ndo kwako
  6. J

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    Advance haikuanza 2000 mkuu sema mlianzisha HGL mkuu,huyo mama alikuwa anaitwa Teleza Zenda alikarabati kupitia danida ndo walifanya mambo pale afu nakufahamu wewe hahaaaaa nimekumbuka pondini pale nilikuwa na kademu kangu ndo point ya kukutana nacho
  7. J

    Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    polisi mko wapi?mbona huyu miss anaonekana kaforgy cheti za kuzaliwa hamchukui hatua huu ni ubaguzi na upendoleo wa hali ya juu,angekuwa mtanzania mwingine mgeshupaha mpaka mishipa iwatoke mambo kama haya ndo yanafanya jeshi lenu linachukiwa au kazi na imtelejensia ni kwa chadema/ukawa?tu!
  8. J

    Laini za tiGO PESA/M-Pesa zinauzwa

    Lain bado zipo
  9. J

    Laini za tiGO PESA/M-Pesa zinauzwa

    Ndo bei zake hizo
  10. J

    Laini za tiGO PESA/M-Pesa zinauzwa

    Tigo 500000 voda 150000 nipo dar anayehitaji ani pm
  11. J

    Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    Hapana ndugu ongeza pesa
  12. J

    Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    kwa hiyo pesa hapana ongeza
  13. J

    Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    Bomba halipiti huko ndo maana hata manisipaa ina miradi huku
  14. J

    Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    Namba hiyo hapo 0689626886
  15. J

    Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    Mali bado ipo safi kabisa karibuni.
Back
Top Bottom