Mwenge High School Singida Kunani ?

Mi ni mkazi wa hapa jamani,hali ya mwenge naiona kila siku na nimeshafanya pioneering kufundisha Economix for advanced level...hali ni mbaya kwelikweli,wachache waliopita hapa kila wakiiona wanalia...
 
but nw tuna headmaster mzuri tatizo lilikuwa uongozii bt nw its tyme for change ninasoma hapo
 
Wadau kwa sasa tegemeeni matokeo mazuri kwa shule ya mwenge.kwa sasa yupo headmaster mzuri mr Ndimbo.kipaumbele cha kwanza cha pili na cha tatu ni taaluma.kiukweli na walimu wanajitahidi kufundisha.
 
Juzi nilienda kuchukua vyeti vyangu hapo shuleni nimefurahi sana nimekuta system ya maji imekarabatiwa,maabara nzuri vifaa vya kutosha hii baada ya kipilimba kutimuliwa saiv yupo NDIMBO ,safi saana
 
Mkuu pole. Serikali yetu haina uwezo wa kujiendesha tena hivyo shule nzuri za awali kaputi!!! Bora kanisa katoliki wameanza mkakati na wameomba kurejeshewa zile za kwao na tayari mambo mazuri yanaonekana. Kithibitisho ni Forodhani ilichakaa hadi popo wakafanya nyumba kwenye paa na pembeni mwa nyumba but now it is almost new. Kwa hiyo nashauri serikali irejeshe shule zote za misheni ili kupunguza gharama maana wameshindwa. I happened to visit DODOMA Secondary, kwa wanaoijua ni nzuri ajabu but sasa inaelekea kuwa gofu. Pugu Secondary je? Nafikiri kanisa katoliki lichukue shule zake kuanzia TABORA, KILAKALA, WERUWERU na nyingine nyingi. Hiyo ya mwenge du siijui kama ni serikali parsee basi jua inaelekea kuwa gofu la maonesho (ruins).

Mwenge ilikiwa ya Lutheran nakumbuka walipotaka kuichukua Rais KIKWETE alikataa na kusema shule hizi(Tumain sec,Mwenge) zilishakabidhiwa serikalini,Lutheran walikuwa na mpango wa kukarabati Mwenge iwe University
 
Jamaa yangu alitoka Tabora na division one form four akaenda pale karuka na zero kasorobo ashukuru divinity! Pale pana madem balaa! Wapi mamdenyi
 
Mwenge ilikiwa ya Lutheran nakumbuka walipotaka kuichukua Rais KIKWETE alikataa na kusema shule hizi(Tumain sec,Mwenge) zilishakabidhiwa serikalini,Lutheran walikuwa na mpango wa kukarabati Mwenge iwe University

ndio mkuu ni ilikuwa ya kkt hata pale kwenye jiwe la msingi pale kama unaingia staff imeandikwa kama sikosei maana nimepita hapo kitambo sana nilikuwa azimio miaka hiyo tunasoma na wadada hakuna days na lori lile la shule nahisi limeishatengenezewa majiko na chuma chakavu,hii ccm ya leo inajua kuiba pesa za umma tu kila kitu hovyo hovyo
 
Na mi nilisoma hapo miaka ya 2000 Headmistress alikuwa mama mmoja hivi nakumbuka alikarabati majengo hayo akatuwekea hadi vioo vipya kale kabaridi ka asubuhi kenye upepo flani tukakasahau,shule ilikuwa na nidham sana tulikula vizuri nayakumbuka sana madoo na mama aliwekeza sana kwenye taaluma tulianzisha sisi Advance alinunua sana Vitabu tukamtengenezea One kadhaa,nilimla mtoto mmoja wa Kisukuma alikuwa OLevel alikuwa na Mzigo huyo I Cant Forget.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Advance haikuanza 2000 mkuu sema mlianzisha HGL mkuu,huyo mama alikuwa anaitwa Teleza Zenda alikarabati kupitia danida ndo walifanya mambo pale afu nakufahamu wewe hahaaaaa nimekumbuka pondini pale nilikuwa na kademu kangu ndo point ya kukutana nacho
 
Ha ha ha na mi nlimaliza hapo kipindi cha nyuma miaka ya 2014, teh teh teh cjawahi kuingia class msuli unapigiwa bwenini ukichoka salun kwa Jay unaenda kurefresh, darasan maticha wanazngua chenga tupu limkuu linaitwa Kipilimba fisadi alitutoza hela za kufufua lory la shule lililokufa miaka 30 ilopita kutu, scraper tupu likatimuliwa akaletwa jembe mzee NDIMBO huyo ndo ataleta changes pale kuna katicha kanaitwa Kindi kana kiherehere afu hata hakana maendeleo kanatembelea baiskeli ya phoniex

teh teh teh kengne n wadi matatizo matupu........
 
xul ile n shidah wale wa 2014 tuliita OPENED PRE UNIVERSITY coz tulikua free sana na ishu n ww ujielewe wot has brought you at sngda
.
hvo vtoto vya knyaturu n shdah.....madisco kubambia...ubungo street
napakumbuka sana LAKINI SINTOKAA NISAHAU HALI YA KUVUA NGUO ZOTE UNAPOTAKA KUINGIA CHOONI KISA HARUFU KALI......ilyokua ikbaki mwilini not less than 20minutes. .
 
ndio mkuu ni ilikuwa ya kkt hata pale kwenye jiwe la msingi pale kama unaingia staff imeandikwa kama sikosei maana nimepita hapo kitambo sana nilikuwa azimio miaka hiyo tunasoma na wadada hakuna days na lori lile la shule nahisi limeishatengenezewa majiko na chuma chakavu,hii ccm ya leo inajua kuiba pesa za umma tu kila kitu hovyo hovyo

dah mkuu kuhusu ukararabati wa lorry bado tulichanga 10000 kila mwanafunzi mwaka jana nikiwa 4m6 lakini hela zimeliwa nimeona ukarabati wa maabara,water system,vyoo na upandaji wa miti tu
 
xul ile n shidah wale wa 2014 tuliita OPENED PRE UNIVERSITY coz tulikua free sana na ishu n ww ujielewe wot has brought you at sngda
.
hvo vtoto vya knyaturu n shdah.....madisco kubambia...ubungo street
napakumbuka sana LAKINI SINTOKAA NISAHAU HALI YA KUVUA NGUO ZOTE UNAPOTAKA KUINGIA CHOONI KISA HARUFU KALI......ilyokua ikbaki mwilini not less than 20minutes. .

ahahahahahahaaaaa unanikumbusha mbali ila saivi NDIMBO kafanya yake,,watoto wa singida ni sheedah ukizingua hausomi
 
ni hatari sana mkuu nakumbuka tumewahi kufunga 2months kwa sababu ya upungufu wa chakula,huyo Nyalandu nae politcs tu siku moja akasema ntapitisha harambee kwa ajili ya ukarabati wa shule lakini mpaka leo hakuna alichokifanya
 
wadau mi mwenyew nimexoma hapo class of 2011-2013 kiuhalisia shule imechoka sana yani inasikitisha hata kwa upande wa michepuo ya sayansi tulikuwa tunatumia majiko ya mchina instead of bunsern burner ambazo zimesha R.I.P ni kiama hiki but serikali iangalie kuhusu hili natilia mkazo serikali iangalie kuhusu hili lakin mkuu ambae yupo kwa sasa angalau kaanza kufanya repair LABORATORY na kwingineko hongera kwa hilo Mr. NDIMBO endeleza harakati
 
Back
Top Bottom