masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,759
- 16,586
800x2= daladala? 3000=gest/lodge? siwezi lala hata kwa dawa
mkuu hivi mwenye uzi kasema hana nauli mimi nimempigia bajeti hiyo nyepesi
800x2= daladala? 3000=gest/lodge? siwezi lala hata kwa dawa
Kuna binti jiran mrembo nimem-aproach takribani mwezi wa tatu sasa lakini majibu yake yalikuwa negative.
Ghafla leo kani-text akihitaji nimtoe out kwani leo ananafasi hadi saa 4-usiku.
Sasa hapa nilipo hata nauli ya daladala sina nimemtonya jamaa yangu naye hali mbaya, yaani ndege anapeperuka hivi hivi jamani? Weekend mbaya sana kwangu

Si hizi lodge za kawaida,single self.accomodation 20000? which hotel?
800x2= daladala? 3000=gest/lodge? siwezi lala hata kwa dawa
Hii inatokeaga sana wakati mwingine ni mipango ya Mungu, behind the scene!!! Let it go kk
Mwambie uko mwezini!
Vichakani ndo kwako
800x2= daladala? 3000=gest/lodge? siwezi lala hata kwa dawa
mwambie una tezi dume, atakuelewa tu.
Kuna binti jiran mrembo nimem-aproach takribani mwezi wa tatu sasa lakini majibu yake yalikuwa negative.
Ghafla leo kani-text akihitaji nimtoe out kwani leo ananafasi hadi saa 4-usiku.
Sasa hapa nilipo hata nauli ya daladala sina nimemtonya jamaa yangu naye hali mbaya, yaani ndege anapeperuka hivi hivi jamani? Weekend mbaya sana kwangu
Kwa story hii hata geto inaonekana hanakama unakataa geto kwako mwelekeze aje mengine yatajuluikana uko uko, au bado unadonmea ugali wa mother
Kwa story hii hata geto inaonekana hana