Recent content by Jil

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mm nimpongeze mama yetu samia Suluhu Hassan, kiukweli saiv tunaona mabadiliko makubwa kivitendo, Enzi za mwenda zake haya mambo yalikera mno,alipenda sifa kupitiliza, na wateule wake walimjua, kila mmoja wao akawa anapigania kuwa front page ya kumpamba!, kila chombo cha habari taarifa ni zake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Kazi iendelee mama sio mtu wa makamera, namkubali sana, ila tunaomba katiba mpya.
  3. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Msitutishe aise Tz hamna korona, tusitishane, wewe unayeitajataja corona itakupata wewe
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama mpole mno
  5. J

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Zitto Acha Ulalamishi na Siasa za Kitoto

    CCM hamna jimbo ambalo wanashinda kihalali!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Hujamuelewa mkuu wa mkoa, alichomanisha hapo, kuna walimu wengi wapo mjini hawataki kwenda vijijini, hivyo shule za vijijini kukosa walimu, na wananchi kutozwa hela kwa ajili ya kuwalipa walimu wa mikataba!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani msaidie meneja wa TANESCO Mkoa wa Iringa

    Hizi ni kazi za kiufundi mkuu, hivyo subira inahitajika, wanaojitaji huduma sio wewe tu wapo wengi, changamoto zilizopo Tanesco mafundi ni wachache, unakuta Wilaya nzima ina mafundi nane, na technician mmoja, na wanaohitaji kuunganishiwa umeme ni wengi na wamelipia. Ndio maana lazima usubiri...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Taarifa kama hizi peleka takukuru!! Ndo kazi yao!! Lakini ukweli ndo huu kwamba rushwa haitaisha Kwenye nchi hii!! Mm ninaamini hata hao 271 ni watanzania wenzetu sema ni vzr ajira zikatangazwa kwa uwazi vijana wachangamkie sio kinyemela hivyo, hapo ndo wanakosea
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

    CCM ndo chama Dola! Wana hela yatakutosha huwezi linganisha na vyama vya upinzani!!! Kwa hali ilivyo vyama vya upinzani Hususani CHADEMA ndo chama bora nchi hii!!! Ccm ni chama sio hawa wanaonunua wapinzani???? Spika huyuhuyu wa CCM amewangangani wabunge waliofukuzwa na chadema!!! Ni dhahiri...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Mbona mnangangania sana, akina chimbi sana, hapa Tanzania ni wao tu???? Watu wameanza kuongoza toka utawala wa mkapa bado mnawangagania haohao hamna wengine??? Mm mnaniudhi sana!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza/kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Acha uzinzi utakupeleka jehannum ya moto ndugu, kama unazidiwa na tama oa tu, hizo ni tamaa na zitakupeleka motoni mpokee Bwana Yesu ili uwe na Uzima ndugu yangu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ukiongeza mshahara na Madaraja Mei Mosi 2021 watumishi wataandika jina lako kwa Mhuri wa moto kwenye mioyo yao

    Haohao watumishi waliopuuzwa ndo haohao walioipitisha CCM kwa zaidi ya 80% hivyo ngoja wakubaliane na hali
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mahusiano ya kingono yasiyo halali katika jamii zetu

    Hizi ni nyakati za mwisho hazina tofauti na nyakati za nuhu! Hivyo dhambi ya uzinzi inachukuliwa kama jambo la kawaida, mwenye kuipenda nafsi yake ataiangazmiza mwenye kuichukia ataiponya!!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Dhambi ni mbaya sana, watu wamkimbilie Bwana Yesu awakoe na tamaa za kidunia ambazo lengo lake ni kuwapeleka wengi motoni Ufunuo wa Yohana 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi

    Wapi huko
Back
Top Bottom