JamiiForums Tanzania
Tundu lisu
Joke of the day!!
Mimi Charles Francis kuanzia leo sitaki kuwa shahidi katika kesi yoyote ambayo Tundu Lissu ana shtakiwa. Yaani kwa kifupi hata nikiombwa vipi kuwa shahidi against this man, sitaki. Ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiniulize sababu... Kama ukitaka kujua...