jikwete
Senior Member
- Feb 22, 2015
- 157
- 71
Joke of the day!!
Mimi Charles Francis kuanzia leo sitaki kuwa shahidi katika kesi yoyote ambayo Tundu Lissu ana shtakiwa. Yaani kwa kifupi hata nikiombwa vipi kuwa shahidi against this man, sitaki. Ha ha ha ha ha ha ha usiniulize sababu... Kama ukitaka kujua sababu subiri wewe uwe shahidi against him alafu uone kama hujaomba maji ya kunywa!! Nchi hii kwa sasa kila mtu anajua Tundu Lissu ni nani!!
Charles Francis M.