Kwa sasa hili ni swala la muda tu. yaweza kuwa mwakani au miaka kadhaa baadaye.
Kwa hali halisi muungano wetu uko katika mashaka makubwa sana, hasa baada ya Zanzibar kufanya mabadiliko ya kumi yaliyo itambulisha Zanzibar kama Nchi.
Kwa kuwa dalili za kubaki na mfumo wa serikali mbili zinazidi...
Watanzania wasilikilizeni vizuri viongozi wa CCM kuna vingi vya kuelewa wanapo jaribu kulipeleka taifa hili. Sote tufahamu kuwa tayari tumekwisha kinywea kikombe na kutoka humo tulimo ni muujiza!
zilikuja zikapendwa, zikapendwa zikaenda!
Najaribu kuzikumbuka santuri chache zilizo chezwa humu lakini kwa sasa ukiziweka hata kwenye "Mchina" hazisomi
1. Anaishi na mke wa mtu
2. Ana miriki na kulipia card yake ya ccm
3. Kawekewa pingamizi mahakamani
4. Mchonganishi
zipo nyingi...
Watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa wa siasa chafu za kuua vyama. ccm wameishiwa mbinu za kistaarabu, hata hivyo cdm inawapasa kujibu hoja hizi za uzushi kwani wenzenu ccm ndio wanapanda mbegu mbaya hivyo! Msisahau kuwa magugu yakipandwa huota na kuzaa kushinda mazao rasimi!
NILIPO KUWA NIKIMTAZAMA JANA NILIPATA SHIDA KAMA KWELI HUYU NI MTU MAKINI, NILIKUWA NA KAKA YANGU MBELE YA TV, AKANIAMBIA MIMI SITTA HUWA SIMKUBALI, MIMI PIA NIKAMWAMBIA HATA MIMI SIMKUBALI ILA ACHA TUANGALIE ANASEMA NINI ILI TUMFAHAMU VIZURI. TUMEKUWA TUKISOMA HABARI NYINGI SANA JUU YA MTU HUYU...
Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga!
Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV chadematv's Channel - YouTube
Nilichokiona:-
1. Watu waliozoea kuishi pamoja tangu kuumbwa kwa IGunga...
Mawazo yenye tija kwa ukombozi. CDM wakati ni huu, tunataka mfagie kuanzia Ikungulyabadoshi/Isakamaliwa/Uzogole/salamaA hadi hadi Mwanalomango Kisarawe. Watu wapo, CDM nia mnayo! Sababu mnazo! Uwezo mnao! Kilichobaki ni ...........
Mtatiro hauhitaji somo jingine lolote kuamini kuwa CUF imekwisha! uamuzi wa kutumia Helkopta na pesa nyingi na kuambulia 4% unajitosheleza kuwa uko wrong side, ungetumia magari peke yake ingekuwaje? kama unaweza jipange upya ama kwenda CCM au CHADEMA, otherwise karibu watanzania wote watakuchoka...
Point no. 5 inanafasi kubwa katika maamuzi, nashawishika kuwa kampeni zisizo za kistaarabu zimetumika na zinaendelea kutumika, CHADEMA nilazima wajibu mapigo kwa kutoa elimu ya ukweli juu ya Udini na uelewa wa Sheria na haki za mpiga kura/haki za binadamu. Japo kimsingi CDM wamepata ushindi...
Chief Domokaya pole,
Mimi kwetu ni Shinyanga lakini hatuko hivyo, leo ninaona aibu sana hata mood ya kazi imetoka, ninaingia kila chumba cha offisi kwa rafiki zangu na ninawauliza hivi kwa nini wana Igunga wamechagua CCM? Nijuavyo mimi hawana sababu hata moja ya kuchagua CCM! Inawezekana...
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!
Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?
1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi?
3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA?
4 Wananchi wa igunga hawana...
It looks CCM wameshinda! Fine, wameshinda lakini wameshindwa vibaya sana, kutoka uchaguzi wa mwaka jana inaonekana wameporomoka kwa zaidi ya kura 9,000, viashiria vinazidi kuonyesha kuwa CCM haikubariki!
Ni ushindi mwembamba sana kwa chama tawala na kwa nafasi hii napenda kuwapongeza sana...
Kuna Mawaziri wa kutosha kule! Viongozi wa kuaminiwa (Wapiganaji wapya), Mapolisi na usalama wa taifa! Bado CHADEMA imekaba! CHADEMA ikishinda Igunga ni wazi CCM haipo 2015!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.