Recent content by JICHO LA 3

  1. JICHO LA 3

    Jinsi ya kupata mpenzi wa kweli

    si kwa mwanaume tu wanawake wenyewe mwanaume domokaya hatumtaki.
  2. JICHO LA 3

    Jinsi ya kupata mpenzi wa kweli

    si kwa mwanaume tu wanawake wenyewe mwanaume domokaya hatumtaki.
  3. JICHO LA 3

    Msaada wajameni!

    safi sana ndo ukome na bado......
  4. JICHO LA 3

    Hii Guest House kiboko

    mmhhhhhhhhhh????????????????
  5. JICHO LA 3

    Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

    Mambo mengine bwana sasa wewe shangazi yako unamwambia akuthaminishie mke inamaana ulitaka majibu mawili mzuri au mbaya ndo hivo sasa kakwambia kama bundi......unamlaumu nini kwani wewe lengo lako ninini baadaya kuthaminishiwa mke kwaufupi hauna uhakika naye au vipi bs anti yako huo ndo...
  6. JICHO LA 3

    Mimi kuoa basi tena

    Wenyewe mnaona sifa, sio dawa hata kidogo mnawapa mazingira magumu watoto chunguza nini kinaleta mifarakano tafuta ufumbuzi
  7. JICHO LA 3

    Wakina dada kujichubua!!!

    weeeeeeeeeeeee....kitu black beuty. Nasema hivo cz ndo ina soko sana sikuhizi
  8. JICHO LA 3

    Sasa ngoma droo, wanaume nao kutumia vidonge vya majira!

    Mtameza tu mbona wengine washaanza kwenda hospitali kwa ajili ya kupanga uzazi Bibi na Bwana.
  9. JICHO LA 3

    Sasa ngoma droo, wanaume nao kutumia vidonge vya majira!

    Wajitahidi kufanya utafiti ili hata tunapokuwa na mimba vichefuchefu wajisikie wao tu yaani nadhani Dunia itapendeza kweli Sasa hapo Haki sawa itakuwa imetendeka kiukweli.
  10. JICHO LA 3

    Hii ni kero

    Tofauti ya mchina na original ikoje?................... mnataka kutuambia kwamba mwembamba akinenepa tu mchina kama ndo hivo basi kazi ipo jamani.
  11. JICHO LA 3

    Mabinti tabia hii imekaaje?

    mmezidi kulalamika jamani kwani kutongoza lazima kama unaona unafilisika unaweza kupiga kimya,halafu angalia maisha hayaendi au yanaenda msitupe shida sie..................hiki ni kizazi cha dot.com kama hujui.
  12. JICHO LA 3

    Yamenikutaaa...Yamenikutaaa...yoo

    dhana hii iendelee mara mia ndo njia pekee ya kukomesha kutongoza ovyo hv huwezi kupiga na mtu stori yakaishia hapo mpaka communication umefukuzwa kijanja kijana.
  13. JICHO LA 3

    Kitanda: Shahidi asiyesema wa mambo yetu ya siri!

    mhhhhhhhhhh??????..............
  14. JICHO LA 3

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Ni fikra binafsi sana
Back
Top Bottom