Wakina dada kujichubua!!!

Mnapendeza au mnakuwa kama mijusi ile myeupe ya ndani ambayo ikiwa na mayai tumboni waweza kuyaona kwa nje. Kwa kifupi mwanamke aliyejichubua anatia kinyaa...kwanza ngozi yake ikijashuka ananuka kama makalio ya mtu mnene

ulianza vizuri sana......mahali ulipokuja kuharibu ni hapo penye blue.....
 
Madada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia, mdada mweusi/chocolate akipita kavaa kimini lazima udenda ukutoke kweli kweli lakini hao weupe hata akipita uchi mi naona bila bila.

Sijui kama umesha kutana na hili
mabinti wanaojichubua wako na harufu flani mbaya na ni comon kama kuku alie nyonyolewa vile, sijui ni mafuta/mikorogoro yao au nini. yaani kinyaa... ila na sisi wanaume tuna moyo kula black and white (multcoloured).
 
Wateja wakubwa hiyo michubuo ni nyie wenyewe, acheni kuwafuata muone kama hawataacha kujichubua...
 
mh? na uongo wenu tu huo
kama sio nyie kushobokea weupe basi carolita zisingekua na wateja.
 
Madada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia, mdada mweusi/chocolate akipita kavaa kimini lazima udenda ukutoke kweli kweli lakini hao weupe hata akipita uchi mi naona bila bila.
cjaelewa maana yako hapa mkuu
mana kila ukifanya uchunguzi wa nyumba dogo au kimada wa nje ni mweupe ina mana wanadatisha au sio
na hata mkuu wa kaya small house yake ni white noma kuliko ze big house upo
............pia kuna sababu ya ww kutokuwaona hao weupe may be waogopa mana ww nika mana wale wa hebu jitokeze cmama mbele za watuuuuuuuuuuu(more than black mpaka ukikanyaga mkaa unawacha alama)
 
Back
Top Bottom