Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
mungu kaskia sala zangu!! atakoma !!!!,nammezesha mividonge ka pipi tofi!!
Ha ha haaaa! Hasa kama hizo nido zako zitamzingua ili aende raundi za kutosha.
mungu kaskia sala zangu!! atakoma !!!!,nammezesha mividonge ka pipi tofi!!
teh teh tehMwenzangu, mbona hii habari kama imechelewa!? yaaani sasa hakuna kutegeana. No pills, no Sex! hagaiwi mtu mpaka mtu abwie vidonge.
hamezi mtu hapa,watameza hao hao wadhungu.Nalog offbora wanatupunguzia mizigo mingine wanawake
itakuwa raha mnapangiana zamu za kumeza.
Hivi mkifika madukani mtakuwa mkisema mnataka nini vile!?
Kwa mimi patachimbika.
hamezi mtu hapa,watameza hao hao wadhungu.Nalog off
Hivi mkifika madukani mtakuwa mkisema mnataka nini vile!?
mungu kaskia sala zangu!! atakoma !!!!,nammezesha mividonge ka pipi tofi!!
Wajitahidi kufanya utafiti ili hata tunapokuwa na mimba vichefuchefu wajisikie wao tu
yaani nadhani Dunia itapendeza kweli
Sasa hapo Haki sawa itakuwa imetendeka kiukweli.