Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Mambo mengine bwana sasa wewe shangazi yako unamwambia akuthaminishie mke

inamaana ulitaka majibu mawili mzuri au mbaya ndo hivo sasa kakwambia kama bundi......unamlaumu nini

kwani wewe lengo lako ninini baadaya kuthaminishiwa mke kwaufupi hauna uhakika naye au vipi

bs anti yako huo ndo mtazamo wake aliouona.
 
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off

Mke wako yuko sahihi kabisa,mbona huyo shangazi yako anakuwa c muungwana bwana kanikera sana huu sio wakati wa kuchagulia wake bwana,damn
 
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off

ndg yangu mke ni wako siyo wa familia,n
 
hiyo nchi unayooishi ambayo mke huyo huyo aligombana na mpangaji mwenzako kisa chupi................cjui ikoje mana yani hata kama unakaa uswaz gani wa huku hauko ivo loh!.....................
ok umesema huyu mpya labda yule aliyegombana ulimuacha nn???????
back ktk thread yako nimempenda sana shangazi yako kinoma kwani sa ka bundi ndio asiambiwe loh!
mwache shangazi ajinafasi kwa mijiraha yake loh!
Bibie inaonesha we ni mzuri sana
 
Shangazi kaniharibia sana. Nalog off
 
Mambo mengine bwana sasa wewe shangazi yako unamwambia akuthaminishie mke

inamaana ulitaka majibu mawili mzuri au mbaya ndo hivo sasa kakwambia kama bundi......unamlaumu nini

kwani wewe lengo lako ninini baadaya kuthaminishiwa mke kwaufupi hauna uhakika naye au vipi

bs anti yako huo ndo mtazamo wake aliouona.
Lengo langu sio shangazi yangu amtathimini my wife wangu bali aje kumtambua. Nalog off
 
halafu wakwe wa namna ya shangazi yako wanapataga na wakuwatukana.....angeyameza aloyatapika!
 
ni hivi unajiona wewe katika hiyo avatar yako? kwahiyo mtu akiniuliza wewe ni mzuri au mbaya mimi nitamjibu ya kuwa wewe ni mzuri kisura,lakini mke wangu kisura ni mbaya,hapa simkashifu ila naongelea hali halisi,na lengo la kumuoa ili niepukane na kushea mke wangu na wanaume wengine.kuhusu upendo kwa kweli nampenda sana my wife wangu bana.Nalog off

unajua kila unachoona kibaya kwa mwingine ni kizuri..
sasa ngoja atokee mtu amsifie mkeo.
 
oneni huyu nae...
ed-marlo-totally-looks-like-an-owl.jpg
 
Back
Top Bottom