Kama timu ya majadiliano ndiyo hiyo na tunaaminishwa kwamba ni wanasheria wabobezi basi Tanzania tuna shida sana na tuan uhaba mkubwa wa wataalamu wa majadiliano ya kimikataba. sitaki kuamini kama walilainishwa na oil/ grease
Kitabu hiki cha Sikudhani kilitumika kama moja vya vitabu vya riwaya kwenye somo la Kiswahili O'level mmiaja ya 80/90.
Tafadhali mwenye kujua kinapatikana wapi au ambaye anacho tuwasiliane.
Ni mwaka mmoja tu 1997 ambao St. Francis walikuwa nje ya kumi bora tangu shule ianzishwe. Na mwaka huo ndiyo ilikuwa form four ya kwanza na hapo walikuwa wa 17 kitaifa.
Miaka hiyo Mwalimu MOHAN KUMAR (mhindi - expatriate toka India) wa Accountancy na Mwl. BUSHUMBA wa Commerce pale SHYCOM. Hawa walikuwa ni zaidi ya walimu. walikuwa walimu na nusu.
Kwa kiasi kikubwa toka ndugu John Pombe Magufuli alipopata urais mpaka sasa ambapo ndugu Samia Suluhu Hassan ndiyo rais, viongozi waliokuwa / walio chini yao wamekuwa wanatumia maneno yenye ukakasi na yenye kuonesha mambo yote ya serikali wanafanya na mtu mmoja ambaye ni rais! Hii ni tabia ya...
Mkuu wewe kiboko!!! Utabiri wako umekamilika. St. Francis girls Form four 2020 results:
Div 1.7 - 79
Div 1.8 - 9
Div 1.9 - 2
Jumla ya wanafunzi 90. Kweli wa mwisho ana points 9.
Mkuu hakuna cha kushangaza hapo. Vigezo vya kupata div. One ya point 7 ni tofauti na ya kumfanya mtu awe kwenye top ten.
Ili uwe na div 1 ya point 7 unatakiwa kuwa na angalau alama A saba kwenye masomo uliyofanya mtihani, na kuwa kwenye top ten unatakiwa uwe umepata maksi nyingi kupita wengine...
Askofu Gwajima nadhani hakufanya utafiti kwanza kujua ni nini nahitaji wa wana Kawe ama hajui mipaka ya kijiografia ya Kawe wala composition ya wakazi wa Kawe.
Pamoja na kwamba jimbo la Kawe linapakana na bahari lakini shughuli kuu za kiuchumi kwa zaidi 95% siyo uvuvi. Lakini anaahidi kununua...
Kwa St. Francis matokeo ya darasa la saba siyo kigezo kabisa cha kuchaguliwa kujiunga na form 1. Kigezo chao kikuu ni kufanya vizuri mtihani wao wa mchujo ambao hufanywa na matokeo yake kutolewa hata kabla ya matokeo ya necta ya darasa la saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeipata sehemu, unaweza kuitafsiri
*Are your children ready to inherit you?*
The only son of a certain wealthy man wanted to inherit the father's business.
The old man gave him one condition to fulfill: "Earn 10,000 dollars, show me the money and my multi-million dollar business is...
Siyo simu iliyosababisha kuvunjika kwa ndoa yenu kwani simu ilikuwepo siku zote. Ni hiyo michepuki yako. Hata kama isingekuwa simu lakini akajua kwa njia nyingine kwamba una michepuko ndoa ingevunjika tu.
Hii nimeipata sehemu. Jamaa katoa neno kwa X wake
"Ex wangu natamani upigiwe simu, njiani, ukiipokea kibaka akupole simu, ukianza kumkimbiza ugongwe na gari. Ije Ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye maporomoko ya maji upasuke kichwa halafu uliwe na samaki.
Samaki avuliwe na Mvuvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.