Mtamkie X wako neno lolote hapa

Mnatupa kazi Mabaharia ... MimiX mademu karibia wako 20+ sasa nimmumbuke Nani sasa ... Kila la kheri nishaozesha demu zangu 3 mpaka sasa
Khaaaa..
Basi wewe ni LUTENI KANALI MSTAAFU..
inabidi nikupe cheo hicho kwa sababu hamna namna nyingine.
 
Hii nimeipata sehemu. Jamaa katoa neno kwa X wake
"Ex wangu natamani upigiwe simu, njiani, ukiipokea kibaka akupole simu, ukianza kumkimbiza ugongwe na gari. Ije Ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye maporomoko ya maji upasuke kichwa halafu uliwe na samaki.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike jikoni nisinzie samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na panya. Panya nae akamatwe na paka aliwe, Paka nae alishwe sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!"

Daah! Sijui X wake alimfanyia kosa gani kubwa namna hiyo!
 
Nmeachana na watu hata sijui tumeachana achana vipi, maan ilikuwa inatokea tu from nowhere mahusiano yamekwisha. Nilikuwa nikiona tu mazinguzi yanaanza naanza kujiweka mbali mwenyew Jambo linalofanya kuendelea kuwa friends mpka leo. Sijawahi experience kuachwa, naogopa saaana
 
Mm sinaga Ma X tumepumzishana tu kwa muda Mana Kama 30 hv na Hawa 15 jf jumla 45 Sasa hawawez Mana snuti dollar ipo kwa hyo nikijiskia huwa kiporo napasha
 
duuh
Hii nimeipata sehemu. Jamaa katoa neno kwa X wake
"Ex wangu natamani upigiwe simu, njiani, ukiipokea kibaka akupole simu, ukianza kumkimbiza ugongwe na gari. Ije Ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye maporomoko ya maji upasuke kichwa halafu uliwe na samaki.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike jikoni nisinzie samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na panya. Panya nae akamatwe na paka aliwe, Paka nae alishwe sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!"

Daah! Sijui X wake alimfanyia kosa gani kubwa namna hiyo!
 
Hii nimeipata sehemu. Jamaa katoa neno kwa X wake
"Ex wangu natamani upigiwe simu, njiani, ukiipokea kibaka akupole simu, ukianza kumkimbiza ugongwe na gari. Ije Ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye maporomoko ya maji upasuke kichwa halafu uliwe na samaki.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike jikoni nisinzie samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na panya. Panya nae akamatwe na paka aliwe, Paka nae alishwe sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!"

Daah! Sijui X wake alimfanyia kosa gani kubwa namna hiyo!
Watu wana mazito moyoni
 
Back
Top Bottom