Hatimaye ndoa yangu imevunjika kwa sababu ya simu tuu

SAS cha kukuliza nini? Umepungukiwa nn kijana?
Vuta hata Kaaba wa ifm tu mlete manzese
 
Rais aienda nje ya nchi office yake
Anamwachia deputy wake Na ww Fanya
Hvo unakwama wapi
 
Nilishawahi kufanya hivyo,wife alikua na tabia hiyo,mkikosana kidogo tu anasepa,mara ya mwisho alisepa nikiwa na safari,nikarudi na mchepuko alipokuja kujua alihaha mno kutaka kurudi,baada ya miezi 4 nikauondoa mchepuko,tangu amerudi hata kusema niende kusalimia nyumbani hakuna tena siku hizi
Doh! Kazi kwelikweli
 
Ni ngumu kuamini lakini imetokea kwangu

Mwanamke wangu ameamua kubeba kila kilicho chake na kuondoka na amesisitiza tusijuane kuanzia Leo na niendelee na maisha yangu ,

Chanzo cha mwanamke wangu kusepa ni simu yangu katika kupekua pekua akakutana meseji toka kwa wanawake wengine kama wawili ambao simply ni michepuko yangu ,

Hivyo Basi baada ya kupekua simu na kuona yote hayo imembidi achukue kila kilicho chake na kujiondokeaee zake
Siyo simu iliyosababisha kuvunjika kwa ndoa yenu kwani simu ilikuwepo siku zote. Ni hiyo michepuki yako. Hata kama isingekuwa simu lakini akajua kwa njia nyingine kwamba una michepuko ndoa ingevunjika tu.
 
Wanaume bana sasa mbona kama roho inakuuma? Kweli kuachwa ni sooo japo mwanzo ulijiona kidume kumbato mbato hovyo.
 
Back
Top Bottom