Recent content by Jhene Aiko

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duuuh, kweli wanawake wengine!

    hv kitu gani kinachanganya hapo?! we kama umemluv jilie vyako uximuonee haya na kama humtaki dawa ni kumchana live kuwa aondoke kabla hujamtell jamaa yako
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wanapenda waolewe ili wawe na financial freedom

    Napinga vikali c kweli hata kidogo
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

    yan wewe ntajitahidi nimuombe mungu akuchome mpaka visigino si umuache mwenzio aolewe jamani ROHO MBAYA HIYO
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    hahahahah nimejikuta nacheka bt pole xana mkuu
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mpenzi wangu ana govi

    sitanii kweli hiyo ndiyo hali halisi tena nakuonea wivu ni xhidah hahah
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mpenzi wangu ana govi

    duh kweli wewe ndo hujui utamu kabisaa..
  7. J

    JamiiForums Tanzania Results Slip inahitajika Wakati wa Kuripoti Shule hiyo tar 18?

    cdhani kama kuna umuhim xana cz cc tulivy ripot mwk jana hatukua na joining instruction wala result slip, tulichofanya ni kwnda na mahitaji ya lazima kwnz mfn ada unajua kabixa km ni 70000 kuna godoro, maxhuka,ndoo,jembe,nk wewe tangulia thn utaulixa michango mingine bei ipoje cz ni ming balaa...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

    hahahh mkuu kuchepuka ni tabia ya mtu wapo ambao hawana antena lakini ni wachepukaj balaa speakin from experience
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    naombeni msaada wenu wa mawazo wakuu... kipindi nikiwa o level nilipenda xana kuja kusoma cbg nikiwa advance then nije kusoma cz ya pharmacy hapo baadae nikiw chuo cha kusikitisha baada ya post kutoka mwaka 2014 nikapangwa hgl though nlikua vizur kwny combination ya cbg, sasa tatizo langu ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    hahahahahkwikwikwipwaa
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hivi mahusiano na msichana kwakutumia simu tu yanawezekana?

    sio vzur hata kidogo kumpenda m2 kupitia simu mfano mm mwnyew nshakua na mpenz hivyhivy na tulipendana sanaaa... cku nimekutana nae ckutegemea kabixa yan mfupiii, mweusiii, ana makengeza. mpaka leo sitaki hata mazoea nae
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utoto kwenye ndoa

    hv nyie ndo ma great thinkers kweli au kwa sababu kauliza kitoto na nyie mnajb kitoto
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makalio wanawake siku hizi mnayatoa wapi?

    siku hz wanawake tunajiongeza mkuu c tumeshajua mnaya shobokea
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU tumrudie MUNGU

    Na wewe pia mkuu
Back
Top Bottom