ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 332
Michepuko ni Ya kuichezea kama toys tu
Ikijitambua inaruhusiwa kuanza mbele kwa mbele
Ha! Ha! Ha!
Not funny though.... nawasi wasi kama itajitambua boss
Michepuko ni Ya kuichezea kama toys tu
Ikijitambua inaruhusiwa kuanza mbele kwa mbele
Kama hayo ndio maisha uliochagua.. Its ur business, we dont need to know, for who for what???....utoto wako tafuta forum nyingine sio hapa jamii forum kwa wakongwe...we dare to think...hivi kwanini tusumbue akili zetu kwa mtu mpuuzi ilihali kuna mambo mengi ya msingi ya kutoa mawazo yetu...ambayo yanaweza kusaidia taifa hili.. Watu wengine mahayani sana uzinzi wako uje ututambie ili iweje kwa mfano...haya basi HONGERA endelea..👏👏👏
Akijitambua na kukiri....ruksa!
Ila kwa sasa nitaendelea kumchezea kama toy
ahaaaaa loh jf tungekuwa tunajuana face 2 face leo lisura lako na vipua vifupi vya kibantu, ungejificha chooni.(gavunemuheto) I wish u know me, hatuko kwenye mashindano endelea kutukana.ila sikulaumu wabatu/ ABIIRU ndivyo mlivyo.
Asprin pita huku uone huyu sonko jr alivyojitoa akiri kwa watu asiowajua ili aonekane kinara jf.
Cc asprin.
Truth hurts.....bt naamini kitu kimoja what's goes around comes around.....kama unajua kabisa kuwa unamchezea kwann usimwache....tena io michepuko mingine mitatu uliyo nayo huogopi magonjwa.....upo kwenye chain ya ngono...remember kila kitu ufanyacho lazma kiwe na matokeo yake kama sio wewe basi wanao...pia ngono husababisha ukosefu wa bahati na nyota kuchafuka.....
Duh I smell racism..
(An extreme hate against races.... besides a black man to go against the fellow blackman for facial description?)
Inasound extreme binadamu wanapoana wao ni wa haki zaidi ya wenzio..
Well jamaa ameku offend lakini hiyo ni man-man leque si general leque...
Mie pia m bantu if you think rationally nafikiri unaeza kuona tayari ume attract attention za watu wengine na tayari umeshatoka nje ya mada just ulipokuwa outraged..
Calm down control your anger otherwise if you can't it exposes your inner personality!
luckyline[/QU
Ah am proud of what I am...a bantu with big nose n very black color