Recent content by jf user

  1. jf user

    Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

    Mnazipendea tecno kwa sababu ni bei chee... lakini ubora wake ni zero. Kwa sasa tekno ambayo nitaweza kuipenda ni tecno l 9 kwa sababu inakaa na chaji muda mrefu. Labda tecno wa kufikiria ni flagship zitakazoanza kutoka mwaka huu kwa sababu tacno imewekwa gsm arena now it means wako levo za...
  2. jf user

    Je, kuna athari gani kuoa mwanamke alokuzidi umri?

    Wanaendana wakitoka pamoja?
  3. jf user

    Historia ya Wachagga: Koo, Kabila na Falme-Mangi

    Exactly upo sahihi kabisa mkuu!
  4. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Biblia sio vitabu vya Mungu bali kuna maneno machache sana na mafundisho ya Mungu yaliobakia. Biashara tu. Thibitisha hoja yako hii.
  5. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Okay thibitisha sasa.
  6. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Ni Imani yangu kuwa MUNGU hakosei.
  7. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Viweke hapa mkuu tuvichaambue. Sidhani kama viliandikwa chini ya uweza wa MUNGU labda ni kazi feki za binadamu.
  8. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa. Kuhusu kukinzana sidhani kwani vimeandikwa chini ya muongozo wa MUNGU na sidhani kama yupo wa kukosoa kukosoa kazi MUNGU. Pengine unataka uniambie havijawekwa kwa sababu vinakinzana na vitabu vilivyopo mimi ninakataa kwa sababu havijaandikwa...
  9. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Unaweza dhibitisha?
  10. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.
  11. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Kwa mfano mdogo tu angalia idadi ya vitabu vinavyotumiwa na madhehebu ya protestant, roman catholic, orthodox na walokole.
  12. jf user

    Nawezaje ku recover corupted odt file?

    Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa. Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS. Nisaidieni powerful way ya kurecover hi kazi kwani ni muhimu mno.
  13. jf user

    Msimamo wa Nyerere, Mareale UN ulikuwa mmoja

    Hakika mkuu shukrani sana. Paramount chief mariale alikua na wazo zuri sna hapa kuwaunganisha watanganyika wote pamoja pamoja na kusaidia machifu wenzake wa sehemu tajwa.
  14. jf user

    Mangi ndio mabepari wa kwanza wa kijadi.

    Tukisoma historia ya mkoa wa Kilimanjaro tunaona kuna kabila maarufu sana la wachaga ambalo kimsingi lilikua na tawala mbali mbali za kichaga kila chifu na eneo lake. Machifu hao waliitwa mangi. Mangi maarufu ni mangi rindi na mamngi meli wa old moshi, mangi sina wa rombo, mangi horombo wa keni...
Back
Top Bottom