Recent content by jf expert

  1. J

    Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

    imewah kunikuta hiyo...toka usa river mpaka town kazin wife amenuna tuu kksa nimempa lift dada ninaemfaham na yey wife hamfaham...
  2. J

    Wanaume: Ni kweli mwanaume akichelewa kupata mtoto, akipata wa kiume hufurahi zaidi?

    nina furaha na familia yangu..wanangu kike na kiume nawapenda sana..wa kike wawili na kiume wawili.. Blanca(mata hari) Bianca(Siera Maestra) Milton (Da vinci) Ian(Tesla) watoto ni watoto tu na ninawapenda sana...kikubwa ni malezi ya wazaz..na kwa mwanaume ambae hajui ni kwamba mtoto wa...
  3. J

    Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

    wala hana haja ya kwenda...zipo njia za kukabiliana na hilo bila kwenda kwenda huko..
  4. J

    Road licence kuwekwa kwenye mafuta sio uamuzi sahihi na athari yake ni kubwa zaidi ya tatizo

    wanafaidika siku zote..mleta mada kayatetea sana magenerator na mashine za nafaka..ndo nikauliza mbona huko nyuma hawakulalamika au ewura wanahusoka pia na hizo mashine!?....ain hii ya ulipaji ni mzuro swma tu labda hiyo tsh 40ipunguzwe....
  5. J

  6. J

    Road licence kuwekwa kwenye mafuta sio uamuzi sahihi na athari yake ni kubwa zaidi ya tatizo

    mbona ewura tunawalipa kwa kila lita na hujalalamika..hizo mashine na generator ewura wanahusoka naz???!!...huu mfumo ni mzuri kwa nchi nyingi sana na uko poa tu...achen mawazo ya kimaskini...
  7. J

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    hili jambo linafanywa na watu wenye weledi wa kutosha na wana malengo yao..kuna kitu huko ndan serikalini na watu wanalipiza kisas ili ujumbe ufike kwa wakubwa..
  8. J

    Nawatafuta ndugu zangu Adeline Mking'i na Prisca Mking'i

    habar nawatafuta ndugu zangu hao hapo juu..hawa ni wadogo zangu tumeshare baba. baba yetu anaitwa Godwel Mking'i kwa sasa ni marehem.kwa mujibu wa taarifa toka kwa mama,baada ya kuzaliwa mimi baba na mama hawakuishi pamoja..nikiwa na miaka Miaka 10 tulihama tanzania na kwenda denimark...
  9. J

    Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

    kuvurugana kwa mwarabu ndio furaha ya mmarekan na nduguye israel
Back
Top Bottom