habar
nawatafuta ndugu zangu hao hapo juu..hawa ni wadogo zangu tumeshare baba. baba yetu anaitwa Godwel Mking'i kwa sasa ni marehem.kwa mujibu wa taarifa toka kwa mama,baada ya kuzaliwa mimi baba na mama hawakuishi pamoja..nikiwa na miaka Miaka 10 tulihama tanzania na kwenda denimark nilikosoma na mama akifanya kazi..kwa sasa tumerud na tunaishi arusha..
baba yetu alioa mke mwingine nadhan mchaga na ndio wakazaliwa hao wadogo zangu ninaowatafuta..ni watu wazima.. maana mimi mwenyewe ni mtu mzima pia..marehem baba alikuwa mbena na kwa mujibu wa mama yangu,baba yetu alikuwa mfanyakaz wa TRA,na hapo dsm alikuwa akiishi mbez beach (tangibovu)
kwa yeyote anawafaham walipo hawa ndugu anijulishe kwa pm..