IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Kutoka IKULU..

[HASHTAG]#Taarifa[/HASHTAG] Mchanga wa Madini, Rais John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya uchunguzi wa kamati ya 2 ya wachumi na wanasheria siku ya Jumatatu Juni 12,2017.

Makinikia.jpg
 
Naam, mambo yameiva ile ripoti ya tume ya pili ya raisi kuchunguza sakata la mchanga wa madini kuwasilishwa siku ya Jumatatu asubuhi kwa mujibu wa Ikulu. Ripoti hii imeangazia masuala ya kisheria zaidi tofauti na ripoti ya mwanzo ya Prof.Mruma iliyoangazia masuala ya utaalamu wa madini na kemikali.

Tega sikio.
 
Back
Top Bottom