Recent content by Jet Li

  1. J

    Panya wananisumbua

    Mtafute Zitto
  2. J

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Nyerere kwenye moja ya hotuba yake alishawahi kusema kuwa alimwachia aliesema ameiweka tanzania mfukoni baada kuwasiliana na bishop Makarius lakini haikuwahi kutokea majadiliano yenye muafaka kati wa masheikh na nyerere.
  3. J

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Haya maneno yananikumbusha uzalilishwaji wa masheikh wetu kama Sheikh Nurdin Hussein na Sheikh Mohamed Nasoro wa Zanzibar.Sheikh Nurdin Hussein na familia yake walitolewa Lindi na kuhamishiwa Muheza,Tanga kwa mabavu chini ya maagizo ya Nyerere.Katika maeneo yaliyokuwa na uislam au kuonyesha...
  4. J

    Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

    It's all about power.
  5. J

    CHADEMA waelezeni wananchi mema yenu na siyo kuwa mabingwa wa kukosoa tu

    Chama cha demu la kiasia na Matusi a.k.a CHADEMA
  6. J

    Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    Hao kwa jina jengine ni wanachama kumbi kumbi
  7. J

    Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    PM7 na unafiki wako
  8. J

    Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    Sasa unataka kusema walioishia darasa la saba kama Lema ni miongoni mwa vituko.
  9. J

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    IT gani au ina maana ya INTERNATIONAL THIEF
  10. J

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Mbona umeshasema sasa rudia tena kamanda mchofu
  11. J

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Product ya wapi hiyo Libya au Cuba?
  12. J

    Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    Huyo ni kiongozi amebeba dhamana ya kuongoza watu sasa ulitaka nimuulize maswali gani?
  13. J

    Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    Nina maswali matatu kwa Dr Slaa Tuhuma za kukopa pesa za chama kwa matumizi binafsi yako zina ukweli wowote? Una mpango wa kugombea urais mwaka 2015? je chama kikikupa ridhaa uko tayari kuipeperusha bendera ya CHADEMA? Lini, unategemea kustaafu siasa na kupisha vijana kushika hatamu za uongozi...
Back
Top Bottom