Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
Una matatizo ya Kurithi wake za watu.man we kweli ni jasiri! vp una maoni gani kuhusu masalia wa cdm? ungependa kuwaambia nini katika kipindi hiki kigumu wanachopitia? unamshauri nini zzk kuhusu kutegemea sangoma kuyalinda maisha yake?
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
hii ni pongezi au jazba??
mbona umekasirika kwa huu ushindi dhidi ya chama cha mashetani???
Mkuu hiyo ID ya Dos Santos ni ID zinazotumika kuivuruga CDM na ile ya Tuntemeke wote vipandikizi vya Nape Masalia.Dos santos na wenzako wote akiwemo huyu Nape jr,ni kwamba lazima muelewe kelele za CDM kuhusu hukumu batili ndizo zilizopelekea uamuzi huu wa haki toka mahakama ya rufaa.
Pia kama mngekuwa waumini wa siasa safi nchini basi msingetumia mamilioni ya pesa za walipakodi kwa mambo ya ovyyo,kama vile kuchakachua matokeo ya uchaguzi,kufungua kesi za mapingamizi ya ushindi dhidi ya wabunge wa CHDEMA.
Pia msingetumia fedha za walipa kodi kuvuruga upinzani kwa kununua na kupandikiza masalia ndani ya upinzani.
Pia msingetumia jeshi la POLISI kuvuruga mikutano ya CDM
Shame on you .........lakini iko siku kitaeleweka.......kama Moi na KANU kilieleweka nina imani hata nyinyyi siku zenu zinahesabika tu
Pongezi za Kinafiki.Mbona ulivyoenguliwa UVCCM ulipiga kelele ukidai vigogo wa Ikulu wala Rushwa wakubwa ndio waliokuangusha.Leo unaisifia tena Ikulu.Pole sana Gamba.
Uharo mtupu!alivyovuliwa mlijipongeza!ameshinda unampongeza!how an idiot are you!you are inside out as anthropods Nape!puuu!
Sijaona udhati wa moyo kwe hongera yako. sana sana unataka uambiwe "umekomaa kisiasa".
Umeanza vizuri mwisho umeharibu,ila ni kweli kama ulivyosema hujakua ukikua utaacha. Nitakuwa mchoyo wa fadhili nikiacha kukupongeza kwa ujasiri wa wewe kumpongeza Lema.Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!