mimi ni binti wa miaka 23 ninaishi mbeya ni mwezi uliopita tu nimemaliza diploma ya kilimo na mifugo naombeni msaada wa kupata ajira kokote kwenye makampuni..shuleni kufundisha etc
#undugu kufaana sio kufanana
ASANTENI!
nimependa wazo lako..kilimo cha mpunga cha lipaa sanaa ila kwa ushaur wangu kama una helaa subir wavunee huwa wanauza bei ndogoo...harafu subiri bei ipande ndio uuze upate faidaaa.....ukilima waweza kuta umekodi umelipa vibaruaa expences nyingiii....harafu ukipata hasara hautatak tena kulima.asante
habari wakuu mimi nipo mkoani ( mbeya) natamani sana jifunza kiingereza lakin kila ukiulizia utajibiwa ras simba! je hatoi masomo onlinee,,,,ili kutusaidia na wa mikoani" Asanteni.
pole sana lakini njia nyingne ukiona dalili za mdudu kidoleni tafuta majani ya mchongoma( hina ya majani) yatafunee harafu kamua kudiwe na majimaji bandika kwenye mdudu japo utapa maumiv ila mdudu atatok mwenyew bila kusubir usaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.