natafuta kazi diploma ya generl agricultute

jesca.com

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
38
Reaction score
5
mimi ni binti wa miaka 23 ninaishi mbeya ni mwezi uliopita tu nimemaliza diploma ya kilimo na mifugo naombeni msaada wa kupata ajira kokote kwenye makampuni..shuleni kufundisha etc
#undugu kufaana sio kufanana
ASANTENI!
 
Ushapata kazi?
 
Back
Top Bottom