Recent content by jerry wa somi

  1. jerry wa somi

    Naomba mnijuze hili la vinasaba au DNA

    lazima ufahamu kuwa DNA inayo husu mtt kuwa na mahusiano na baba its sex related genes ipo kwenye sex chromomes ambapo saxa genes hiz huwa na taarifa za baba mhusika matukio ya uhalifu mfano wizi wakutumia silaha unahusisha DNa zilizoko kweny chromosome iitwayo. somatic chromosome (autosomes)...
  2. jerry wa somi

    Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    kweli finali uzeeni yan hayo matundu yasingekuwa elastic kuna wanawake wangetengwa na wanaume .saxa uharibifu mkubwa kias hicho ulofanyiwa bado unataka upate kijana mtaratibu asiyena michepuko akuoe daah Wanaume tuna kaz aisee Mungu atusaidiee Kinachofuata hapo utakuwa mlokole utakutana na...
  3. jerry wa somi

    Natafuta mwanamke aliechoka na maisha ya Upweke

    hahaha saxa atakidhi vip vigezo na yeye ni binti na unahitaji 40 years
  4. jerry wa somi

    Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

    mi nawashangaa wanawake ukiwatongoza asilimia 90 wanasema ooh nina mtu ukija kwa wanaume asilimia 80 watakwambia wako single saxa hawa wanawake wamebond na nani daaaah
  5. jerry wa somi

    Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

    hahahaha hata wenzako walisemaga hivyo hivyo chezea mtaa wa mwanza nyegezi wewe
  6. jerry wa somi

    Biotechnology is life science na hamtambuliwi na wizara ya afya

    Hilo liko wazi, tusing'ang'anie kusiko tuhusu. Tatizo ni curriculum ndo inayowachanganya wanafunzi wa biotech. Jambo la msingi tujue wapi au wizara gani tunapaswa kuwepo na wapi tunastahili kuomba kazi si hospitali.
  7. jerry wa somi

    Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    Huu ni wakati wa kuijenga nchi ,lowassa alituakikishia umma kuwa haki yetu haitapotea ,akatushawishi tujitokeze kwa wingi kupiga ili hata kama wakiiba zingine zibaki,Saxa mbona hazijabakii kama zimeibwa. Mi naona ukawa tulikuwa tunajitekenya na kucheka wenyewe .kuna msemo unasema kama huwezi...
  8. jerry wa somi

    AJALI: Basi la Nganga na Fuso yagongana uso kwa uso na kuteketea kwa moto

    My almight God protect us on these miserable events occuring in Tanzania
  9. jerry wa somi

    Kova adanganya umma, picha zake za panya road ni za mahabusu wa mwaka jana

    daah huko ndo kutafuta sifa , zisikokuwa za halali
  10. jerry wa somi

    Kwa waliochaguliwa SUA

    karibu sua vjana
  11. jerry wa somi

    Leo ni shangwe kwa wana SUA kwa kumpata president tuliyempenda

    Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wanasua wote kumpata kiongozi tunayemwamin,mtunayempenda ,tuliyempa dhamana ya kuwa rais katika chuo chetu. Kumbuka sera zako ahadi ulizo wahaidi wanasua pamoja na mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali yetu. Ni shukrani zangu za dhati kwako kwa kuweza...
  12. jerry wa somi

    Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

    hiyoo imekaa njema sana tatizo pesa washagawa mapema
  13. jerry wa somi

    Eti jaman bumu linatoka lin maana hali mbaya

    damn it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. jerry wa somi

    Udsm booom!!

    tuache ubwege wakat tunashindia matunda hafu hiz habar eti serikali imetumia fedha zote nani kazileta kwanza
  15. jerry wa somi

    Eti jaman bumu linatoka lin maana hali mbaya

    mi imebidi niwaulize wadau mwennye inf atujuze bac
Back
Top Bottom