Biotechnology is life science na hamtambuliwi na wizara ya afya

jerry wa somi

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Hilo liko wazi, tusing'ang'anie kusiko tuhusu.

Tatizo ni curriculum ndo inayowachanganya wanafunzi wa biotech.

Jambo la msingi tujue wapi au wizara gani tunapaswa kuwepo na wapi tunastahili kuomba kazi si hospitali.
 
Mnatakiwa mkae kwenye Research Laboratory lakini sio normal or routine health laboratory. Afya au hospital laboratory tunataka kuona mtaalamu anaewajua parasites tofauti tofauti, virus na bacteria wanaoaffect binadamu na wanyama. Labda kidogo mnaweza kufiti maabara yenye PCR kama wale wenzenu waliosoma molecular biology pale mlimani. Pia hatuwezi kuwapa registration kwasababu curriculum yenu siyo ya miongozo ya afya. Pia nashauri someni course kwa kulingana na soko la ajira.
 
Siyo kama hamtambuliwi bali hamjaonyesha uwezo wenu. Nitawapa mfano; Agribusiness graduates walikuwa hawatambuliki miaka ya nyuma lakini walivyoanza kuonyesha uwezo na private company kama World Vision na Care International, leo kila Bank inawahitaji, TRA nimewakuta na kwingineko. Onyesheni uwezo mnapopata kazi watawakimbilia karibuni
 
vipi forensic science kuwa jeshi la police badala ya wizara ya afya hii imekaaje?
 
Mnatakiwa mkae kwenye Research Laboratory lakini sio normal or routine health laboratory. Afya au hospital laboratory tunataka kuona mtaalamu anaewajua parasites tofauti tofauti, virus na bacteria wanaoaffect binadamu na wanyama. Labda kidogo mnaweza kufiti maabara yenye PCR kama wale wenzenu waliosoma molecular biology pale mlimani. Pia hatuwezi kuwapa registration kwasababu curriculum yenu siyo ya miongozo ya afya. Pia nashauri someni course kwa kulingana na soko la ajira.

well said!!
 
Hivi kuna mabiotech wanaog'ang'ania kufanya kazi hosp? Mtakufa masikini ndugu zangu? hakuna pesa huko, isitoshe mtaishia kupima stool, urine, sputum crossmatching kuko shalo sn huko, njooni huku nimr, na other reseach labs tupge REAL TIME PCR, HAIN, SQUENCING, GENOTYPING, nk achana na wizara huko wanakaa matechnicians bhana nyie ni mascientist tutaftane wakuu km unatafta kazi.
 
But maboresho machache tu yanaweza mfanya biotechnologist kuperform routine medical.check up in the health lab
 
Isitoshe wengi mnadhani kazi znapatkana tz tu, uganda nyie mnahitajika sn, hapa Botswana ndo kabisa tunakubalika vbaya.
 
hiyo coz hapa sua inasumbua, afu ajira ni shiidaa.

Nendeni kenya kule mnahitajika sanaa
 
vipi forensic science kuwa jeshi la police badala ya wizara ya afya hii imekaaje?
Forensic science is a tool......ipo jeshi la polisi, lakini pia ipo vyuo vikuu na institute zingine zinazohusika na forensic popote wizara ya Afya na Mifugo (Animal Health). Hakuna tatizo katika hilo....just application
 
Hivi kuna mabiotech wanaog'ang'ania kufanya kazi hosp? Mtakufa masikini ndugu zangu? hakuna pesa huko, isitoshe mtaishia kupima stool, urine, sputum crossmatching kuko shalo sn huko, njooni huku nimr, na other reseach labs tupge REAL TIME PCR, HAIN, SQUENCING, GENOTYPING, nk achana na wizara huko wanakaa matechnicians bhana nyie ni mascientist tutaftane wakuu km unatafta kazi.

hivi kupata kazi huko unafikiri ni rahisi sana?
 
Back
Top Bottom