Recent content by Jerry one

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    jerry unatafuta kiki au kuteuliwa hahahha
  2. J

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Kuuliza full citation ndio kuona nyota kaka duuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Ibara ya katiba ipi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Mnaona 1.7b kama lak mbili nn kuichange airport
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Kifungu kipi ambacho kimekupa utata
  6. J

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Hahahah mtoa post alichemka kidogo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Kwan mana ya katiba ni nn????kila mtu anatakiwa afanye kaz kulingana na majukumu aliopewa na katiba yan to ACT within da scope. Cjaona kibaya chochote katika vipengele ulivyo cite
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Membe amuache Rais Magufuli afanye kazi

    membe kazungmza tuu sio kwamba kasema alichokisema kifanyike jaman...... mbona alivyo criticise kuhusu mambo ya kurudia uchaguz zanzibar hamkumsema????????????????????
  9. J

    JamiiForums Tanzania Procedures za kushitaki/kufungua kesi

    be specific.. unataka kufunguwa madai au jinai
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

    asante kaka.kwanza mambo vp.... nadhan unaelewa kabisa kua sheria ya ndoa ya 1971 inaeleza waz kua u can not contract a mariage if there is still a subsisting mariage.kama ndoa ya mercy bdo iko hai kwa mana mahakama haijatengua ndoa hio au mecy bado mzima. bas hio ndoa ya pili ni void...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Nkurumah Hall: Mdahalo juu ya miswada ya sheria za makosa ya mtandaoni na takwimu

    jamani mwenye cyber bill naomba anitumie kwa email yangu kalemajerry@gmail.com.plz
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu ndani ya Chama

    hahaha rosemary kimaro am not here to criticise people but i must confess that umezungmza mengi ila i dont see the pivot comrade.if i may ask what is ur stutus kwenye chama..........umezungmzia msmamo wako kuheshmika na watu wote kwa sbb ni haki yako yakikatiba ila nataka ukumbuke katiba...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka Kusoma LLB

    Ni kwel hata mm namaliza ndan ya miak mutatu.kwahio unaweza
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya kidato cha nne naweza kuwa mwanasheria?

    Tuko busy na escrow na labda tu kwa taarifa ni kwamba kwa matokeo hayo hutapata chuo chochote duniani na ukipata uta disco kwa malimbikizo ya supplimentary
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka Kusoma LLB

    Kirefu chake ni latin ligum barchelous.ni ki latin
Back
Top Bottom