Recent content by jerry-B

  1. J

    Rais Kikwete kweli ni Jembe

    Jk ni jembe kwa vilaza
  2. J

    Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

    Lo-rushwa a.k.a Lo-fisadi anastahili kwenda keko maisha yke yte yaliyobaki,kma ni mtu mwenye maamuz magumu na muadilifu auelezee uma tuhuma zinazomkabili asa ishu ya Richmonduli aliyodai kasingiziwa
  3. J

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Kumbuka msemo huu, in Tanzania if you are not confused then your head is not working properly. Ukisikia kauli za viongozi wetu wanazotoa mikutanoni you get confused, if you get confused that's when you realise that your head is working properly. Hahahaaaaa nimecheka sana ila...
  4. J

    Kama Lowassa atapata nafasi ya kugombea urais kura yangu anayo pamoja na u-CHADEMA wangu

    Mtoa rushwa na fisadi papa ndo unataka utuaminishe kuwa ndo anafaa urais.si bure umetumwa ww
  5. J

    Mpenzi wako wamwitaje!!!!!!!!!!

    Gaddafi ila nimefupisha nimemsave gadda
  6. J

    Ungeuaje soo hili!

    Conyagi
  7. J

    Tanzania Kwa Yenyewe ni Moja ya Maajabu Saba ya Ulimwengu

    Na mimi pia naunga mkono sisi ni maajabu tosha
  8. J

    Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

    Hili jamaa ni jinga kabisa
  9. J

    "Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

    Huyo co msomi ni lijinga kabisa anashabikia mambo yasiyotakiwa kushabikiwa
  10. J

    Tuwe wakweli: Tatizo La Zanzibar sio Muungano, ni Udini

    Hv zanzibar iliungana na makanisa?jamaa wana roho mbaya,wabinafsi na wadini,bora uvunjwe
  11. J

    Dkt. Gharib Bilal Makamu wa Rais kwanini hasikiki sana au si maarufu sana kwenye vyombo vya habari?

    Huyu jamaa asione utepe atatakaaa aukate anatembea na mkasi mfukoni,hamna haja ya kua na makamu wa rais,awe rais then waziri mkuu
  12. J

    Mbuzi wa Kafara

    Cjaona zuri alilofanya jk
Back
Top Bottom