Recent content by JENSENE

  1. J

    George Simbachawene: CCM hatuwezi kupinga ujenzi holela na Squatter, tunaogopa kukosa kura

    kwa mtazamo huu inaonesha wananchi tunatumika ka miradi ya viongozi waliop madarakani. kwa sababu mwakani uchaguzi wanataka kuonekana wao kuwa wema kwa wtz wakati kwa miaka 4 manyanyaso ya kutisha.mtz vikiria sana aina hii ya vingozi.
  2. J

    Picha.Mtihani wa Moko mkoa Mwanza ulitolewa kwenye gazeti la Elimu haina Mwisho kabla ya kufanyika

    Naomba kufahamu kwani gazeti inaonesha lilitoka desemba 2013 na kutoa chapisho hilo. Yote ni yote nasikitika sana kwa kufanyiwa maigizo katika elimu yetu. hii ni makusudi ili kutaka watoto wetu washindwe kushindana katika soko la ajira. ni majanga matupu.
  3. J

    Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

    mtu asiye na hoja daima ni kutoa matusi tu ili wenye hekima zao wahamishe hoja na kuanza kumjadili. Ushindwe kabisa. Tunasema busara imuongze mwenye elimu na si elimu uongoze mwenye busara. Kuwa na elimu kubwa sio ndio uwezo. Unaweza kuw na elimu ndogo lakini busara yakutosha
  4. J

    Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

    jamani mama yetu kiukweli tuache ushabiki kachemka. kashindwa kabisa kujibu hoja sana yeye kuonekana ndo anapiga kelele tu na kubaki kujisifia kwa uongozi wake anaodai wa kutukuka
  5. J

    Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

    Mheshimiwa waziri wa ardhi, nyumba na makazi PRO. ANNA TIBAIJUKA amejikuta katika wakati mgumu kujibu hoja za wabunge hasa kambi ya upinzani baada ya kushindwa kujibu hoja muhimu za wabunge waliochangia katika hotuba yake ya bajeti na kushikwa na jazba nzito kwa kuwa- attacked personally...
  6. J

    Matusi, ubaguzi wa AG Werema kwa Wazanzibar, kiburi cha Spika Makinda, wabunge watoka nje

    "hayo kaulize huko kwenu Zanzibar...hapa kwetu...". AG WEREMA. INAUMA SANA! maana yake Werema anadhihirisha kuwa wazanzibar ni wao na watanganyika wao. hii ni hatari sana kwa mustakabali wa muungano wetu ambao tunaupigania usivunjike. kauli ikitoka imetoka hata ukiomba msamaha haiwezi...
  7. J

    AG WEREMA aomba MSAMAHA KWA KAULI YA KIBAGUZI KWA WAZANZIBAR

    unapokuwa kwenye nafasi za juu sana katika nchi unapaswa busara iwe mstari wa mbele zaidi kuliko mhemko wa mapenzi ya uchama. Kwa AG kutoa kauli kama hiyo, fikiria kunaleta picha gani kwa wtz wenye upembuzi yakinifu? hata kama ameomba msamaha lakini donda hilo kovu lake litabaki na kuendelea...
  8. J

    Wassira: UKAWA msiporudi CCM tutaendelea

    watz tumekuwa na ushabiki tu wa kisiasa na kutoangalia maisha yetu ya baadaye. kwa sasa tunashabikia san huu mchakato wa katiba kwa misingi ya ufuasi wa uchama na tunashindwa kuangalia watoto wetu wataishi vipi kwa siku za usoni. Daima viongozi huangalia maslahi yao na familia zao na ndio maana...
  9. J

    kwa utaratibu huu ni vigumu kuinua elimu sekondari MEATU

    Sio jambo la kustaajabisha kuona kila mwaka wilaya ya meatu kielimu kuwa mwisho mwisho katika matokeo ya kidato IV. Viongozi wetu hasa DEO Secondari kuwa mbabe na mwenye majibu ya kejeli kwa walimu na ni mtu asiyekuwa na msaada kumevunja hamasa ya walimu kufanya kazi hata hvyo uteuzi wa wakuu...
  10. J

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Vipi kama wanao nyumbani watakuambia baba/mama unyonge sisi sasa baci utawaelewa wanamaanisha nini? Utafurahia au utachukua hatua kukemea? Fikiri kwa makini usiurupuke tu kupongeza kauli za hovyo
  11. J

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Nafikiri mgojwa ukimwi midadi ya uchama ndiyo inakuongoza. Fikiria kila chama, makundi ya kikabila, dini na wengine wakihamasisha waondoe unyonge na kukubiliana na wengine. Nchi hii itakwenda wapi? Fikiri kwa makini huyu ni rais wa watanzania wote. Cio CCM tu.
  12. J

    Sitta: CHADEMA hawawezi kupewa nchi kwa sababu safu yao ya uongozi ni finyu sana

    Mzee wa upeo duni. Ungelikuwa unaijua siasa usingekuwa na mawazo mgando ungejiongeza kidogo. Sisi em kilichobakia ni kuiba kura, kusupress wanachama wa vyama pinzan. Fikiria kidogo tu mwaka 2000 kuhusu KAFU Kama si wizi ni kingetokea? Pia hivi, ni NCCR-1995, KAFU 2000, CHADEMA 2010. Ni vyama...
  13. J

    Sitta: CHADEMA hawawezi kupewa nchi kwa sababu safu yao ya uongozi ni finyu sana

    Unafikiri ni nani waliojipanga vizuri?
  14. J

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    unataka tujadili katika misingi gani kwa hutaki hata kusikia kilo AZIMIO LA ARUSHA. Hebu ainisha hayo makosa makubwa uyaonayo ili tujadili pamoja bila kuwa bias. Tusijadili kitu ambacho hajawekwa ktk uwazi.
  15. J

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    tuombeane sote ili Mwenyezi Mungu atuepushe na dhahama hii. 'LIPA WEMA KATIKA BAYA'
Back
Top Bottom